Sales Agents 10 wanahitajika kwa malipo ya Commission

Sales Agents 10 wanahitajika kwa malipo ya Commission

tata0193

Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
85
Reaction score
34
Habari, kwa niaba ya mteja wetu wa kampuni ya nishati mbadala, tunahitaji vijana 10 watakao kuwa ni direct sales agents wa bidhaa za kampuni.

Vigezo
1. Umri usizidi miaka 30
2. uwe na level ya elimu kuanzia
certificate.
3. Mwenyeji na mkazi wa Dar
4. uwe tayari kwa malipo ya commission ambayo ni nzuri sana

Tuma cheti cha o-level,elimu ya juu na kurasa moja itakayoeleza model yako ya mauzo na strategies zako.

kwenda tatamwise@gmail.com

mwisho wa kupokea maombi ni 06/06/2019
 
Mkuu ujuzi wa kufunga tai hauhitajiki humu?maana ni kigezo chenu pia wenye makampuni ya uuzaji bidhaa za mfumo wenu kuwa ujue kuchomekea na kuvaa tai.

Ila nyie Jamaa nyie Mungu anawaona
 
Email yenyewe ya kihuni (siyo ya kampuni) jitahidini mfiche vingine kwa nje ili mtu akija mnamkung'uta kisawasawa.
 
Hizi ndio zile kazi zenye mabango kwenye nguzo za umeme. Unabebeshwa madishi ya vyombo ukauze
Habari, kwa niaba ya mteja wetu wa kampuni ya nishati mbadala, tunahitaji vijana 10 watakao kuwa ni direct sales agents wa bidhaa za kampuni.

Vigezo
1. Umri usizidi miaka 30
2. uwe na level ya elimu kuanzia
certificate.
3. Mwenyeji na mkazi wa Dar
4. uwe tayari kwa malipo ya commission ambayo ni nzuri sana

Tuma cheti cha o-level,elimu ya juu na kurasa moja itakayoeleza model yako ya mauzo na strategies zako.

kwenda tatamwise@gmail.com

mwisho wa kupokea maombi ni 06/06/2019
 
Utashangaa joto la Dares salaam MTU kachomekea na kuvaa tai na kiatu cha mkuki moyoni ana fuko kubwa la bidhaa anatembeza tokea Mwenge hadi Posta
Kwapa na pumb*/papuchi zote zimelowa jasho ndembe ndembe.
Hizi ajira hizi,hatariiiii!!!
 
Back
Top Bottom