kuku87
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 1,220
- 296
vijana wa sasa hivi kweli mchele mchele mnataka muanze na kazi za mamilioni sasa utasubili sanaaaaaaa badala uingie kwenye system unaanza kulalamika mshahara hautoshi kweli?
hebu mjitambue wadogo zangu kazi ni ngumu sana kupata wengine hata kwa mshahara huo watakimbilia
duh mpaka mkataba wamekuba bado unakataaaa
hakuna benk imayokopesha vizuri wafanyakazi wake kama hii
hatari sanaaaa
Kaka ungepewa ww huo mkataba ungefanya hvyohvyo unadhan deposits za 20m kwa mwezi nazipatia wapi na kamkataba kenyewe temporary miezi mitatu stil wanaweza kuterminate anytime wakijisikia, ndugu hujui tu heri nilipwe laki 2 bt iwe mkataba wa mwaka najua kuna security hapo