ni mafuta mazuri sana ndio ninayotumia, afadhali yanazidi kushuka bei, ila isije ikawa made in tz maana wabongo hatujambo kwa uchakachuzi tukisaidiwa na mchina, teh