hashahahah dah umenifanya nicheke ahahahahahahah yelewoooo
Tafuta bwana akugharamie basi hapa mjini
hata me nimekoma marejesho noma had nakonda
mnanitisha mie nimetoka kusaini mkataba wa mkopo leo mchana! sijawai kukopa
hahahha yaani mwezi huu naangusha bonge la party......kiruuuu salary slip imerudi normal..japo nawashwa kukopa tena hahahah
huyo mwajiri alikubalije makato ya hivo??pole...
pole sana sasa ukome kukopa ili uweke heshima corner bar