Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,319
- 3,036
6.1Kwahiyo huo mshahara n kwa walio step 3 au 1?
6.1Kwahiyo huo mshahara n kwa walio step 3 au 1?
Ok jee ukiwa 6.3 ni bei gan
Hizo ni annual increments hazina impact kivile. Unaweza kukuta annual increment ya kila mwaka ni 30k hivyo 6.1+60k = 6.3 . Ukifika 7.1 (baada ya kupanda daraja)angalau unaenda mpaka Tsh. 1,425,000Ok jee ukiwa 6.3 ni bei gan
Ok Asante kwa ufafanuzi broHizo ni annual increments hazina impact kivile. Unaweza kukuta annual increment ya kila mwezi ni 30k hivyo 6.1+60k = 6.3 . Ukifika 7.1 (baada ya kupanda daraja)angalau unaenda mpaka Tsh. 1,425,000
Tupo pamoja. Marekebisho kidogo, Annual increment ni kwa kila mwaka kwenye mwezi ulioajiriwa sio kila mwezi. Nimerekebisha hapo juu.Ok Asante kwa ufafanuzi bro
SawaTupo pamoja. Marekebisho kidogo, Annual increment ni kwa kila mwaka kwenye mwezi ulioajiriwa sio kila mwezi. Nimerekebisha hapo juu.
Naomba source, kama PGSS 4 tu anaanzia 1,200,000 above ,inakuwaje PGSS 6 awe na 1,240,000 ????Tsh. 1,240,000