Iombe kwanza kisha ukipata ndo uje tutakuambiaHabari jamani Mimi ni Personal secretary kwenye shirika binafsi.kuna post imetangazwa utumishi.nataka kuapply ila sijaelewa iyo scale yao ya mshahara ni sh.ngapi naomba Msaada tafadhali
Mshahara: PGSS 5 ni kiasi gani?Habari jamani Mimi ni Personal secretary kwenye shirika binafsi.kuna post imetangazwa utumishi.nataka kuapply ila sijaelewa iyo scale yao ya mshahara ni sh.ngapi naomba Msaada tafadhali
Kama unajua PGSS 6 naomba msaada ni kiasi ganiSio chini ya Milion 1 mkuu
Waligoma kujibu?Na je PSSG 2 na PGSS 2 ni kitu kimoja naombeni mnisaidei kujibu tafadhali
Laki 4 na nusuNauliza Pgss 2 ni sawa na sh ngapi
Tsh. 960,000Habari jamani Mimi ni Personal secretary kwenye shirika binafsi.kuna post imetangazwa utumishi.nataka kuapply ila sijaelewa iyo scale yao ya mshahara ni sh.ngapi naomba Msaada tafadhali
Tsh. 1,240,000Kama unajua PGSS 6 naomba msaada ni kiasi gani
Usilolijua ni usiku wa kiza. Inaonekana upo nje ya nchi au private sector. Ustawi wa mtumishi unaendana na tija anayoleta.Wa Tz tunashida sanaaa na tuendelee kuomba mifumo ya ajira ya SERIKALI iendelee hivi, mtu baada ya kuja kuuliza sekta alio omba kazi ina deal na nini? Kipi anatakiwa afanye ili kuongeza tija ktk hiyo nafasi akipata anakuja uliza mshaharaaa? " kweli ndo mana sekta binafsi wana tukwepa sana wa tz mna mtu aki sign mkataba jq kujua anacholipwa haangaiki tena kuleta tija kwa taasisi
Jee take home ni sh. NgapTsh. 1,240,000
900kJee take home ni sh. Ngap
Kwahiyo huo mshahara n kwa walio step 3 au 1?900k