Salary scale ya One Acre Fund

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,537
3,536
Habari za jioni wakuu. Ningepwnda kujua mishahara ya hawa jamaa, one acre fund, position kama za Agronomist, Program manager ama Program Associate huwa wanalipwaje?
Natanguliza shukrani zangu.
 
Hao jamaa mishahara yao ni ya kawaida kiongozi, mpaka mwaka jana december, agronomist wao walikuwa wakilipwa kati ya 450,000-650,000, mwaka huu wamepandisha kuna baadhi wanapata 1.5 Milioni. Itategmea namna unavobagain nao

All the best

Duh, basi mkuu! Nashukuru sana kwa taarifa hii katika muda mwafaka! Nahisi wanafaa endapo hauna altenative ama kwa vijana direct from school!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom