Undisputed
Member
- Nov 8, 2013
- 40
- 11
Thanks Mkuu! kwa mshahara huo bora nimsaidie mama kusugua masufuria kwani utaishia kwenye nauli tu na kodi ya chumba
duh!mkuu 360,000/= duh 80,000,000/= kwa muda huo si hatari hii mkuu duh!Hahahahahha!! Wewe kazi si mfanyaji? We ulijua kazi iko mwanza kwann uliomba? Kwanza ni wewe au mdogo wako? Sijaelewa!!
Anyway ukwel n huu, probation utakayolipwa posho na si mshahara miezi mitatu! Then probation inaanza miezi sita, hapo unatakiwa kuzalisha si chini ya 80 milioni. Hakuna insuarance na kodi na NSSF unakatwa na bonus inakatwa kodi. Take home kama sh 360000 wakati huu.
Unaweza kufukuzwa kazi saa yeyote kwa kosa dogo kama la kumuuomba mfaransa aongee kingereza katika kikao.
La maana kazi, ukivumilia utakula kidogo maana benki inakua na kuna opportunities sana.
Wana jamvi naombeni kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa mshahara wa Client Officer at Advans Bank. Kuna ndugu yangu kaniambia miezi mitatu ya mwanzo hawalipi mshahara wanalipa posho tu, je kuna ukweli katika hili? Naombeni msaada tafadhali.
Nawasilisha.
Hahahahahha!! Wewe kazi si mfanyaji? We ulijua kazi iko mwanza kwann uliomba? Kwanza ni wewe au mdogo wako? Sijaelewa!!