Salary Scale Sekta binafsi ni loop hole PAYE

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,950
3,238
Serikali imeshindwa kuweka Salary Scale sekta binafsi na kuaffect PAYE

Makampuni mengi ya binafsi yanalipa kima cha chini kwa watu wote licha ya elimu na experience.

TUCTA nayo ni mzigo na wamekuwa kama wakala wa Serikali

Graduate wa Degree Au Diploma analipwa almost sawa na Certificate. Certificate ndio kima cha chini, example katika sekta fulani kima cha nini ni 300,000, wa diploma atapewa 450,000 na wa degree 500,000 (gross salary)

Je hapo Salary Scale imefuatwa?

Na je Serikali haipotezi kodi ya Payee?

Waziri Wa Kazi na ajira ....Where are you?

TUCTA ni Jipu
 
Ndugu huku sekta binafsi wengi hatuangalii mambo ya salary scale an degree. Tunaangalia performance. Mimi kwenye biashara yangu nina mtu wa marketing..ana certificate tu...ila namlipa mshahara wa 2.1M maana ni mchapa kazi...hela anayoniingizia kwa mwezi hata sioni shida kumlipa hizo hela..kwanza saa zingine naona kama nampunja. Sekta binafsi ni habari nyingine kabisa
 
Sijakusoma mkuu, shida ni viwango ama kampuni binafsi Ina mandate kujiendesha serikali itapangaje salary scale zao?
Sanasana wameweka kima cha chini kuwalinda wanaopata mshahara mdogo,ktk hili serikali ni 'regulator' tu.,
Hapo kwenye PAYE sijaelewa,kwamba serikali inapata PAYE kidogo ama,lengo ni serikali ipate PAYE kubwa au wewe uongezewe mshahara? Jenga uwezo na experience ama badilisha kampuni, ni rahisi kupanda mshahara kampuni binafsi kuliko serikalini, choose wisely
 
Nitoe ushahidi wapi? Kwa TUCTA iliyokufa au wapi?

Vyama vya wafanyakazi ni majipu
Jombaa yaelekea una msongo baada ya makaratasi yako uliopewa chuoni kutopewa kipaumbele na mhindi.

Ukitaka kujua kuwa hayana maana sana, yaweke ofisini uone km yataingiza kumi. Vyeti shuleni, ofisini kazi
 
Back
Top Bottom