General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Osha ukiacha salary, wanaposho ya laki 5 kila mfanyakazi, kuanzia dereva mpaka sekretari.
Kapige kazi km umefaulu usailili
Kapige kazi km umefaulu usailili
Mwenye kufahamu hiki ni kiasi gan cha mshahara msaada tafadharWanajamvi samahani naomba kuulizia kiwango cha msharahara (pesa) ambayo mfanyakazi anaweza kulipwa kwa kwango hiki hapa.
Salary Scale OSHA-Scale 6.1
Vipi umeitwa kwenye interview maana nasikia Kuna kazi walitangaza hivi karibuni hawa OSHA.Mwenye kufahamu hiki ni kiasi gan cha mshahara msaada tafadhar
Unazungumzia zile za PRIVATE INSPECTORS? Deadline ilikua Tar 3 ila cjajua kama wameita watu tyr, hata mie nliapply. Ntaleta mrejeshoVipi umeitwa kwenye interview maana nasikia Kuna kazi walitangaza hivi karibuni hawa OSHA.
Tupeane update wakianza kuita watu, mkuu.Unazungumzia zile za PRIVATE INSPECTORS? Deadline ilikua Tar 3 ila cjajua kama wameita watu tyr, hata mie nliapply. Ntaleta mrejesho
Watu wana stress ajira hawana hivyo wana Comment wanachojisikia ili mradi tu isiwe matusi ha ha ha usipanic mkuu.
Vp mkuu wameshaanza kuita watu?Unazungumzia zile za PRIVATE INSPECTORS? Deadline ilikua Tar 3 ila cjajua kama wameita watu tyr, hata mie nliapply. Ntaleta mrejesho
Nahisi bado, mimi mwenyewe nasikilizia.Vp mkuu wameshaanza kuita watu?
Bado wakianza kuita tutajua tuTupeane update wakianza kuita watu, mkuu.
200k pula.
Tafuta ni pesa ya nchi gani
Okay ngoja tusubiriBado wakianza kuita tutajua tu
Niliuliza kwa jamaa wa OSHA aliniambia bado.Vp kiongozi mbona mpaka leo kimya au watu washaitwa nn(osha)
Acha tuvute subiraNiliuliza kwa jamaa wa OSHA aliniambia bado.
Hapana Ni bilioni sio milioniMshahara nasikia umepanda ni milioni 25.