Salary history kwenye job application

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
8,969
16,938
Wakuu,hivi applications zenye kuhitaji uambatanishe salary history ndo unatakiwa ufanyaje na ni lazima kuiambatanisha?mtu ambae hajawahi kuajiriwa ndo itakuaje sasa?
 
wakuu,hivi applications zenye kuhitaji uambatanishe salary history ndo unatakiwa ufanyaje na ni lazima kuiambatanisha?mtu ambae hajawahi kuajiriwa ndo itakuaje sasa?
N/A si kuambatanisha bali kuelezea. Waajiri wanoko wanaweza kudai salary slip km umedanganya.
 
wakuu,hivi applications zenye kuhitaji uambatanishe salary history ndo unatakiwa ufanyaje na ni lazima kuiambatanisha?mtu ambae hajawahi
kuajiriwa ndo itakuaje sasa?


vipi mkuu, na wewe ni DIGITIZERS....waambie huna..
 
Ha!ha! Wanahitaji Mtu mwenye experience ya Miaka 3 na wewe Umeomba kazi sasa utakosaje Salary history? Labda kama umedanganya na kazi zinazohitaji watu wenye experience ndo zinahitaji hiyo Salary history
 
Katika vitu vinavyoniudhi katika job application ni hili la kuandika salary yako ya sasa hivi, hayo ni mambo binafsi yasiyowahusu!
 
Ha!ha! Wanahitaji Mtu mwenye experience ya Miaka 3 na wewe Umeomba kazi sasa utakosaje Salary history? Labda kama umedanganya na kazi zinazohitaji watu wenye experience ndo zinahitaji hiyo Salary history
Kwahiyo kama umedanganya ndo basi tena, huwezi kufoji
 
Back
Top Bottom