Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Subiri mpaka tar moja. Unaombaje salary advance wakati hata mwezi haujaanza?
Basi sawa, siku moja niliomba advance, mara ya kwanza menu ilifika mwisho ila kuangalia salio hawajaniwekea kujaribu tena menu haikufika mwisho kama mara nne hivi, kesho kuangalia account nakuta wameniwekea kiasi nilichoomba.Menu haifiki mwisho. Hata hatua ya kuingiza kiasi sifiki
Ya crdb iko tu saaa zoteee....hainaga cha kusubiri...Salary advance Hutoa masaa 24 baada ya salary before hapo Hawatoi Subiri saa 24 zipite
Ni mfumo wako umeamua tuMi nimejibiwa tembelea tawi na kitambulisho,nimefika wakaniambia niwape salary sleep nikawapa na kitambulisho cha kazi.Pamoja na yote hayo imegoma.Nimewaachia taarifa wakadai wataziscan watume nliposajilia Account.Nipo hoi kinoma mana shazoe kukopa toka Mwaka Jana.Nimeamini kutegemea hela za serikali ni zaidi ya utumwa