Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Mshahara hautoshi lakini kumbuka hapo unakopa kutoka kwenye mshahara wako. Kwahiyo hakuna ulicho ongeza.Mkuu tuache ,mshara haitoshi... ni bora kuliko kwenda kumlilia mtu akukopeshe huku nyuma anakutangaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshahara hautoshi lakini kumbuka hapo unakopa kutoka kwenye mshahara wako. Kwahio hakuna ulicho ongeza.
Mkuu tuache ,mshara haitoshi... ni bora kuliko kwenda kumlilia mtu akukopeshe huku nyuma anakutangaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuache ,mshara haitoshi... ni bora kuliko kwenda kumlilia mtu akukopeshe huku nyuma anakutangaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna bure hapo riba ni 5% wakati mtaani ni 25%.....Mara nyingi vitu vya bure vina gharama kubwa
bure kwa maana ya cheapHakuna bure hapo riba ni 5% wakati mtaani ni 25%.....
Haitabadilisha ukweli... Ukweli utabaki pale pale...Acha upumbavu wewe usiwadharau watumishi wa umma vipi baba yako hajawahi kuwa mtumishi wa umma??
Sent using Jamii Forums mobile app