Salamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JS, Feb 25, 2010.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wapwazz na BInamuzz hamjambo za asubuhi???
  Mlilalaje??? Mmeamkaje??? Watoto wenu hawajambo??? Waume na wake zenu hawajambo??? Nimewamiss sana ndugu zanguni

  Mie mzima kiasi nashangaa asubuhi yote hii nimepata kwikwi nina miaka sijapata kinanipa shida kweli hata kutype inasimama kwa sekunde kwikwi ikiija lol

  Hakuna anayeoa/kuolewa siku za karibuni tena?? Nahitaji kuwa mhasibu mkuu kwa mara nyingine nimejikuta ninamiss kushika hela nyingi ambazi si zangu tehtehtehteh [​IMG]

  Muwe na siku njema na kazi njema.
  JS
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,969
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  una vituko wewe....nackia bht ndio anaefuta, ngoja nidodose zaidi! lol
   
 3. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  salama mama......................

  kuna vacancy kule bagamoyo alikotoka mr. wage, hebu jaribu ku apply........... pole na kwikwi tafuta hela ukipata na kwikwi itaisha...............
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 54,155
  Likes Received: 31,219
  Trophy Points: 280
  Ngoja nicheki na Fidel80.
  Will call you shortly.
  Nami nimekumiss kweli. Leo vipi nikutafute?
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Miss u too ngoja nitafute mchumba nikipata tu utashika mijihela c vijisent sawa?
   
 6. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nimeamka salama mpwa, pole kwa yote yanayokusibu, lakini nafikiri 2012 sio mbali maana kuna mjamaa anataka kujitosa wa humu humu JF, he will consider you as his treasurer, dont worry sisy.
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mie naibuku nafasi ya uhasibu kwenye arusi yako.Naona unafaa kuwa unayefuatia.
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  We JS umetuona leo? au umemis kushika mijihela ya watu. Usijali tuko kwenye mkakati wa kumfunda Fidel aoe by July this year lol!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Js bwana tunapeana zamu kila siku wewe tu unashika kama wahasibu wa benk na kumbe si zao
  Next wedding ya fidel80 mhasibu mkuu mie ..
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...nafikiria kuongeza mke,lol!:D:D
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  mama ushauri.....ujue hujaja kufanya kazi yako vizuri.........am waiting ila angalia hapa chini

  twiniushka mchumba si AK-47 au umemtole nje...........
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  hakuwa mchumba yule Twinuska!pale nilipita tu dia ,ah ah ah,c men uwa wanasema hivyo?na mm nilipita tu hana lolote
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  jino kwa jino sio
  sasa JS anataka kushika mahela......
   
 14. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  inabidi uanze ww Twinuska me nikipata will let you knw
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  no inabidi tufanye pamoja ili JS AZISHIKE KWA WINGI
   
 16. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,468
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo umemchezea tu AK-47 na kumwacha, umemharibia maisha yake! :) [​IMG]
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  dah, yaani nshukuru kwa kukumbuka kunipigia debe...............unajua tangu uniambie mkali mie nilijikalia pembeni nakusubiri wewe pekee uniunganishie................ thanks, nafikiri safari hii uko kikazi zaidi na atakubali.............. please facilitate.............

  jamani mchumba wangu mbona hvyo tena mpenzi?????????? mi mbona nilishaandaaa ng'mbe kabisaa?????????????/ kwani imekuwaje tena.............. sema basi kama nimekukosea unisamehe.................. tuendeleezze tulipoachia............. mi mwenzio sijiwezi kabisa mamiiiiiiiiiii................... please.............
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  hahaaaaaaa LOL!!!
   
 19. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo!
   
 20. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  tafadhari mkulu tuheshimiane, hajaniacha, yaani mnavyotamani aniache muanze kusarandia..............looh.......... mlie tu.............. tuandalieni michango kabisa..........
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...