Mwanangu kwanza nimefurahi sana kukuona leo umefunga ndoa!! na kwa hilo namuomba Mungu akupe watoto wenye akili kama
Erickb52, warembo kama
charminglady, wenye heshima kama
Smile, wachangamfu kama
Kongosho, wasiwe wambea kama
Madame B, wala wasiwe wachokozi kama
BAGAH na
Nicas Mtei, Muwalee wawe wacha Mungu kama @firtstlady1.
jihadharini na ushauri wa
Bishanga na
Asprin kwenye ndoa yenu, maana hawa waliishia kuhatarisha ndoa za wengi hapa, na mjifunze kwa
Rejao na
Cantalisia ili msije kuwa kama
Mwali na @st Ivuga. muwe makini na watu wanaokuja kwa msimu tu kama
mtotosix, na tena jitahidini kusoma vitabu vya watu kama
Mtambuzi na
Mzee Mwanakijiji ila muwe na kiasi katika kila jambo kama
The Boss
waleeni watoto wenu vizuri ili yasije wakuta yaliyomkuta
Arushaone kwa mtoto wake
Ruhazwe JR, na mkipata nafasi kaeni na kuongea na
Mamndenyi juu ya topiki za mama ushauri, ila muwe makini asije kuwaambukiza kuwa na watoto weeeengi kama yeye!!
wanangu jitahidini sana kutenganisha siasa na ndoa yenu kama ilivyo kwa
Rejao na
Cantalisia maana laiti wasingejua hilo basi labda couple ya
Rejao angekuwa
FF ama
Cantalisia angekuwa na
pakajimy!!
mwisho kabisa napenda kuwaaambia kuwa muilinde ndoa yenuw kama
Paw na mwenzake
Invisible wanavyohakikisha hakuna uchakachuaji chitchat.... tena na kwa kutambua umuhimu wa hilo nawapa mtani wangu
FP na
mtoto2012 kwa ajili ya kuwasaidia kwa shughuli zenu za ndani maana tunakaribia kuwafukuza hawa huku kwetu ili warydi kwao sasa amenisihi sana nimtafutie cha kufanya kabla hawajafukuzwa kurudi kwao
na mkihitaji kijana wa kufagia uwanja msihofu
snowhite pia yupo tayari kabisa kwa hilo
NB
: kaeni mbali sana na wajukuu wa Asprin wasije haribu ndoa yenu
nawatakia kila la heri