Salamu za ANC zilidatisha Makaburu

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
3,428
Reaction score
2,613
Wakati wa kupigania Uhuru wa Afrika ya kusini, ANC walikuwa na salaamu yao special 'Amandla'! ikimaanisha 'Power' kwa Kiingereza au 'Nguvu' kwa Kiswahili.

Nilibahatika kumsikia Mbunge mmoja wa chama tawala hapa kwetu akipinga na kuibeza salaamu ya chama fulani, yaani hapendezwi na nguvu ya umma!

Hivi swali la kizushi; Kama kiongozi hapendezwi na nguvu ya umma anakuwa anapendezwa na nguvu ya nini? Labda anakuwa anapendezwa na nguvu zake! Au nguvu za dola au labda nguvu ya wenye mamlaka!

Hebu angalia jinsi nilivyotohoa wanavyoelezea amandla in Zulu and Xhosa or Amaka in Nyakyusa, Ngonde, Ndali!

 
Tunashukuru kwa kutuletea uzi huu, ila Anc walitakiwa wawa educate watu wao huko wawape historia ya nini wao walifanyiwa wakati wa ubaguzi mpaka viongozi wa Anc na baadhi ya watu toka huku wakapewa hifadhi Ktk baadhi ya nchi za afrika ikiwemo tanzania.
 

Shule za umma zimezorota na hii imesababisha watoto wa wale wanauwezo wa kadri kiuchumi kupeleka watoto wao kwa shule za kibinafsi zinazomilikiwa na boers ambazo zinawafunza umuhimu wa utumwa na apartheid kwa WaAfrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…