Salamu Warioba: Chonde chonde baba!


Kwanini CCM wasiachane na upambafu wao wa kuhatarisha amani na usalama wa nchi kwa ajili ya kuibeba kiuchumi Zanzibar kwa maelezo kuwa wakiachiwa watatusumbua sana kiusalama kwa kuwa watataliwa kiislamu? Kwanini usiwaambie CCM waachane na mradi wao wa kuharibu amani kwa nia ya kuendelea kutawala? Umeyasema hayo kwa kuwa u mfuasi wa CCM aliye mpambafu kabisa

Waambie ccm waachane na mradi wao ili nchi iendelee kuwa na amani na usalama


Bazazi!
 
kwa hiyo baba yako akizeeka hana thamani kwako hawezi kushauri lolote.wewe ni hopeless kabisa
 
Jana niliuliza kuwa watanzania tu wendawazimu huyu mmoja wapo. Hv kati ya waliopitisha ila katiba na kuacha maoni ya wananchi nani muanzilishi au mchochezi?
 


Nyani haoni kundule!
 
Hiki kipeperushi cha mafisadi lazima kibaki kwenye makabati ya lumumba tu baada ya kukataliwa na wazalendo wa taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…