Salamu Warioba: Chonde chonde baba!

Mwandishi unafikilia tu ukiwa na mke wako mkiachana unakuwa zezeta.
 
Duh! na familia unayo pia?, nawaonea huruma hao watoto kuwa na baba kichwa kimejaa msabe na machicha...
 
Wewe ndiye punguani nambari one. Judge kwa kutoa elimu ya katiba anamchokoza nani? Elimu ya katiba inavunjaje amani?

Mungu hapendezwi na unafiki wako na hila hizo. Waambie ccm waache kuvuruga amani ya Tanzania. Tanzania si mali ya ccm. Mwache Judge na watu wenye malengo mema na nchi watoe elimu kwa taifa.

Ccm mnajidhihirisha unyang'au wenu hadharani sana sasa. Safari hii mtajibeba. Mtaji wenu wa ujinga wa watanzania umekauka. Majuha umebaki wewe na ccm. Kazi kwenu sis hatudanganyiki. Mlizoea vya kunyonga safari hii mkatafute mizoga ya tembo iliyosalia mbugani maana hakuna wa kunyongwa tena. Ila mizoga ndiyo ipo.

Wehu.

 
Duh hao watoto wamepata hasara kua na baba asiye jitambua, zama hizi bado unahubiri aman na utulivu? hii nchi inahitaji viongozi na c watawala
 
kwa comment hizo huyo mleta maada atajutia upuuzi wake.
 
Yaani stroke kwa mawazo yako ni kuwa anayenena kinyume na matakwa ya watawala anachochea au analeta vurugu. Haya kweli ni mawazo ya mtu aliyepatwa na kuharusi kilichopitia kwenye ubongo. Kumbuka pia kuwa wakati mwingine kutokupinga mambo ya hovyo ndio kunaleta vurugu.
 
Mmmh, maneno hayo yangekwenda kwa 6, kingunge na hata chenge ningeelewa! Nje ya hapo mtoa mada anatoka kundi lilelile lisilolitakia mema taifa letu! Kwa maccm mtu anayeeleza ukweli ni mchochezi na mvunja amani!
 
Sasa ilikuwaje Warioba ambae hana cha kupoteza mkampa dhamana ya jambo zito kama katiba?Eti warioba hana cha kupoteza?hivi kwani warioba hana ndugu hapa TZ,hana watoto?hana wajukuu.Hizi hoja mliongea sana bunge la katiba tukawaangalia mazombi.tulieni wananchi waelimishwe,katiba gani kila jambo la maana linasubiri kuja kutungiwa utaratibu kadiri bunge litakavyoona inafaa?hata haki za bianamu zinasubiri kutungiwa utaratibu kadiri bunge litakavyoona inafaa.
 
We unafikiri watu wote ni mashoga kama wewe mzee asukumwe kidogo tu ndio mtakimbia nchi siku hiyo hiyo warioba ndiye mzalendo pekee tunaye mlilia baada ya baba wataifa kkumma we
 
Ata mama yako na baba yako na baba yako hawana chakupoteza ssenge kubwa wewe kkkuma
 
Maendeleo ya kweli huja kwa transformative costitution that focus 4 future na sio huo uharo wenu! Mungu mzidishie ujasiri mzee wangu Warioba! Pu.m.bafu ny.o.k.o we!
 
Ujinga mtupu!!! Peleka ujinga wako kwa wajinga wenzako, Watanzania wa leo siyo wale wa mwaka 70. Propaganda za amani, amani, amani, ni propaganda mufilisi. Hakuna amani bila haki. Wanaochafua amani yetu ni Chama chenu kinachotaka kutawala MILELE kwa mabavu!!!!!!!!
 
kwanza nikupongeze kwa andishi lako zuri ila mwishoni umetaka kuharibu, mzee WARIOBA WALA HATAKI KULETA VITA, wala halazimishi serikali 3, katika hoja zake kuna mambo ya tunu, maadil,i uwajibikaji hayo nayo kweli wakati wake BADO??????????????
Mkuu watu wanataka kupasiana serikali ili kulindana na wizi mkubwa uliofanyika miaka ya karibuni.
Hilo tunaweza kulisahau lakini je, lazima na malengo ya uadilifu, umakini, uwajibikaji na maadili ya kutumikia taifa nayo yaondolewe?

Ni kama kumwaga maji ya kuoshea mtoto na mtoto mwenyewe alimradi kutimiza yanayodhamiriwa!
 
Duh! na familia unayo pia?, nawaonea huruma hao watoto kuwa na baba kichwa kimejaa msabe na machicha...

hahahaaaaaaaa msabe ndo ile pombe ya mtama ikiingalia vibaya unaweza kudhani wamechanganya na vichwa vya siafu.
 
aisee ukaona umeandika jambo la maana kumbe bila kujitambua kuwa umekurupuka ukalileta JF haya sasa soma comment zooote ufurahi na roho yako.na ulivyo na akili fupi kama njia ya kwenda chumbani unaogopa hata kuifuta.
 
Mzee Warioba ni mwanasheria aliyebobea hivyo anaongea kitaalamu na kitaaluma sio hizo porojo zako.Hivi wakati Rasimu ya Katiba inachanwachanwa na watawala wasio na utaalamu wowote bali utaalamu wa kushiba chama na kulewa madaraka si mlisema msiingiliwe sasa hivi imekuwaje mnazuia "Jarida" pendekezwa lisichambuliwe.Acheni watu wapate elimu.
Heshima kwako Mtaalamu,Mtaaluma na Mzalendo wa kweli Mzee Warioba.
 
Ama hakika nimeamini kuwa kuna ndondocha, msukule na zezeta kwenye hizi siasa zinazoendeshwa na ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…