LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Last edited by a moderator:
Ukabila underlined!!!!!
Mkuu Mungi nimepita jimbo la babati vijijini wanadai kuwa Zitto anajidanganya as if watu wa chini hawajui tuhuma zake.
BUT mpaka chaka siku hizi wanabrowse mitandao.
Kule kwetu Iyambi jimbo la Iramba walifanya sherehe waliposikia wasaliti wamechukuliwa hatua. Japo kwa Kitila walishtuka lakini kwa Zitto wanasema kamati kuu ilichelewa kumfukuza Zitto. Watu wa Iramba wanasema Zitto na Mwigulu walihusika kwenye mlipuko wa bomu Soweto
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Werevu huacha ziada ya kesho ya maongezi ktk algorithim zao.vifaranga mnahangaika na zitto kweli zitto hategemei mtu kwenye siasa zake kamwe hamtamuweza jipangeni sana.
Vp mkuu gamba,habari ya Sombetini?
Salaam
Mimi ni mwanachama wa kawaida wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema toka mwaka 2004.
Kazi yangu ninayoifanya Serikalini hunipa muda wa kuzunguka mikoa ya Arusha,Manyara na Singida.
Nimejaribu kuzungumza na mashabiki ama wanachama wa kada ya chini kuhusu uamuzi wa CC kuwapoka nafasi zao Zitto na Mkumbo kutokana na usaliti wa muda mrefu na tuhuma nyingine.
WENGI wa wanachama hawa wameeleza kuwa uamuzi huo kwanza umechelewa sana huku wakiamini kuwa kufukuzwa kabisa ndio suluhisho.
Tumezoea kuona kuwa tunaojua tuhuma za ZITTO ni sisi wenye uwezo wa kuingia humu mitandaoni kumbe la hasha, usaliti wa huyu mwanasiasa kumbe unafahamika mpaka na wafurukutwa wadogo waliomaliza shule za kata.
KWA KAULI MOJA WANATAKA
ZITTO ANYANG'ANYE UANACHAMA.
Kamanda unadhani Manyara na Arusha watampenda ZittoSalaam

Ukweli unauma,ukiona mwarusha ana akili kama yako nna uhakika wewe ni mlinzi hapo ofisi ya RC ama bwana miti wa jijiMitandao si mnafeed nyie sasa hapa unashangaa nini?????!!!!!
Ufue nguo halafu ufurahie ikitakata,styupid!!!!!!
Umepita wapi na wapi????
Kuna watu wangapi na wangapi wamesema hivyo???!!!
Uliwapataje, random,snow baling au????!!!!
Was ths qualitative au quantitave yaan conclusiion hii ni ya wingi au saturation??????
Acheni ujuha wa kupakana matope fanyeni kazi tusukume Taifa hili
Siasa tuu isikutoe ufahamu kiasi hiki mkuuZitto angekuwa hategemei mtu asingewategemea ccm kumwua Mbowe kwa bomu ili awe Mwenyekiti.
Mungu yupo na chadema ndiyo maana hila zao zinashindwa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Unaimani we na nani? Mbona unapenda kuwasemea watu? Toka lini tumekuteua kuwa msemaji wetu?
Afterall unajidanganya ,toka lini mtu mzima akatishiwa nyau? nakuomba ujiandae kisaikolojia mapema kuwa zzk hana nafasi cdm tena bali tumemuandalia nafasi kule magambani
Haya ngoja tusubiri huyo nguli wako muua panya. bado siku ngapi vile?Bado tunaimani kubwa sana na ZZK na kama kamati kuu wanataka wajue hilo vizuri basi wamfukuze huyu nguli wa siasa.Kwakweli hatutokaa kimya,ni lazma tutatoa fundisho ili chama kijue kwa vitendo kwamba kwenye jambo lolote lile katika nchi,nguvu ya uma haina wakushindana nayo.
Ukweli unauma,ukiona mwarusha ana akili kama yako nna uhakika wewe ni mlinzi hapo ofisi ya RC ama bwana miti wa jiji
vifaranga mnahangaika na zitto kweli zitto hategemei mtu kwenye siasa zake kamwe hamtamuweza jipangeni sana.
unamjua zito au unamfahamu tu.