Salamu toka Arusha na Manyara kuhusu Zitto.

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Salaam

Mimi ni mwanachama wa kawaida wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema toka mwaka 2004.

Kazi yangu ninayoifanya Serikalini hunipa muda wa kuzunguka mikoa ya Arusha,Manyara na Singida.

Nimejaribu kuzungumza na mashabiki ama wanachama wa kada ya chini kuhusu uamuzi wa CC kuwapoka nafasi zao Zitto na Mkumbo kutokana na usaliti wa muda mrefu na tuhuma nyingine.

WENGI wa wanachama hawa wameeleza kuwa uamuzi huo kwanza umechelewa sana huku wakiamini kuwa kufukuzwa kabisa ndio suluhisho.

Tumezoea kuona kuwa tunaojua tuhuma za ZITTO ni sisi wenye uwezo wa kuingia humu mitandaoni kumbe la hasha, usaliti wa huyu mwanasiasa kumbe unafahamika mpaka na wafurukutwa wadogo waliomaliza shule za kata.

KWA KAULI MOJA WANATAKA
ZITTO ANYANG'ANYE UANACHAMA.
 
Kule kwetu Iyambi jimbo la Iramba walifanya sherehe waliposikia wasaliti wamechukuliwa hatua. Japo kwa Kitila walishtuka lakini kwa Zitto wanasema kamati kuu ilichelewa kumfukuza Zitto. Watu wa Iramba wanasema Zitto na Mwigulu walihusika kwenye mlipuko wa bomu Soweto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
unamjua zito au unamfahamu tu.
 
vifaranga mnahangaika na zitto kweli zitto hategemei mtu kwenye siasa zake kamwe hamtamuweza jipangeni sana.
Naona leo umelala Lumumba

Ungetoka mbagala mida hii iko kibarua kingeota nyasi maana ungechelewa.
 
vifaranga mnahangaika na zitto kweli zitto hategemei mtu kwenye siasa zake kamwe hamtamuweza jipangeni sana.

Zitto angekuwa hategemei mtu asingewategemea ccm kumwua Mbowe kwa bomu ili awe Mwenyekiti.
Mungu yupo na chadema ndiyo maana hila zao zinashindwa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kule kwetu Iyambi jimbo la Iramba walifanya sherehe waliposikia wasaliti wamechukuliwa hatua. Japo kwa Kitila walishtuka lakini kwa Zitto wanasema kamati kuu ilichelewa kumfukuza Zitto. Watu wa Iramba wanasema Zitto na Mwigulu walihusika kwenye mlipuko wa bomu Soweto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mkuu kwenu siyo machame tena mbona siku zote wewe mmachame leo umekuwa mtu wa aramba kazi kweli.
 
Mkuu Mungi nimepita jimbo la babati vijijini wanadai kuwa Zitto anajidanganya as if watu wa chini hawajui tuhuma zake.

BUT mpaka chaka siku hizi wanabrowse mitandao.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa ni lazima Chadema ikitaka kupona Ifukuze watuhumiwa wote na kiti cha Ubunge sio issue kwa Chadema.
 
Salaam

Mimi ni mwanachama wa kawaida wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema toka mwaka 2004.

Kazi yangu ninayoifanya Serikalini hunipa muda wa kuzunguka mikoa ya Arusha,Manyara na Singida.

Nimejaribu kuzungumza na mashabiki ama wanachama wa kada ya chini kuhusu uamuzi wa CC kuwapoka nafasi zao Zitto na Mkumbo kutokana na usaliti wa muda mrefu na tuhuma nyingine.

WENGI wa wanachama hawa wameeleza kuwa uamuzi huo kwanza umechelewa sana huku wakiamini kuwa kufukuzwa kabisa ndio suluhisho.

Tumezoea kuona kuwa tunaojua tuhuma za ZITTO ni sisi wenye uwezo wa kuingia humu mitandaoni kumbe la hasha, usaliti wa huyu mwanasiasa kumbe unafahamika mpaka na wafurukutwa wadogo waliomaliza shule za kata.

KWA KAULI MOJA WANATAKA
ZITTO ANYANG'ANYE UANACHAMA.

Bado tunaimani kubwa sana na ZZK na kama kamati kuu wanataka wajue hilo vizuri basi wamfukuze huyu nguli wa siasa.Kwakweli hatutokaa kimya,ni lazma tutatoa fundisho ili chama kijue kwa vitendo kwamba kwenye jambo lolote lile katika nchi,nguvu ya uma haina wakushindana nayo.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa ni lazima Chadema ikitaka kupona Ifukuze watuhumiwa wote na kiti cha Ubunge sio issue kwa Chadema.
Hilo ndo wanachama hao wamelenga,wakieleza kuwa bora magazeti yaimbe kiitikio cha MPASUKO CHADEMA kwa mwezi mzima kipindi hiki afu inasahaulika kuliko Kuchukua hatua mwaka 2015 ni hatari
 
mkuu kwenu siyo machame tena mbona siku zote wewe mmachame leo umekuwa mtu wa aramba kazi kweli.

Machame wanaishi watanzania kama mimi, hata kama ningekuwa mmachame. Endeleeni kujiaminisha kuwa mimi ni mmachame. Kama mimi ni mmachame basi wanyiramba wote ni wamachame

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Zitto angekuwa hategemei mtu asingewategemea ccm kumwua Mbowe kwa bomu ili awe Mwenyekiti.
Mungu yupo na chadema ndiyo maana hila zao zinashindwa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hahahahaaaa!! bavicha bhana
 
Bado tunaimani kubwa sana na ZZK na kama kamati kuu wanataka wajue hilo vizuri basi wamfukuze huyu nguli wa siasa.Kwakweli hatutokaa kimya,ni lazma tutatoa fundisho ili chama kijue kwa vitendo kwamba kwenye jambo lolote lile katika nchi,nguvu ya uma haina wakushindana nayo.

Labda akilenga 'panya hawatasalia' matokeo ya kulala kule NGURUKA UCHI WIKI MOJA.
 
Ladhimaaaa watu waheshimu damu ya watanzania haiwezekan mtu mmojaaaa eti aseme yeye ni kigogo wa Chama naona tu wavuliwe uanachama
 
Chadema bana naona sasa hivi siasa zimewashinda wamejikita kwenye mipasho, maandamo ya Kigoma walituambia yalikuwa ya CCM hizi salamu za Arusha na Manyara wanashangilia teh teh teh.
 
Kule kwetu Iyambi jimbo la Iramba walifanya sherehe waliposikia wasaliti wamechukuliwa hatua. Japo kwa Kitila walishtuka lakini kwa Zitto wanasema kamati kuu ilichelewa kumfukuza Zitto. Watu wa Iramba wanasema Zitto na Mwigulu walihusika kwenye mlipuko wa bomu Soweto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ukabila underlined!!!!!
 
Bado tunaimani kubwa sana na ZZK na kama kamati kuu wanataka wajue hilo vizuri basi wamfukuze huyu nguli wa siasa.Kwakweli hatutokaa kimya,ni lazma tutatoa fundisho ili chama kijue kwa vitendo kwamba kwenye jambo lolote lile katika nchi,nguvu ya uma haina wakushindana nayo.

Unaimani we na nani? Mbona unapenda kuwasemea watu? Toka lini tumekuteua kuwa msemaji wetu?
Afterall unajidanganya ,toka lini mtu mzima akatishiwa nyau? nakuomba ujiandae kisaikolojia mapema kuwa zzk hana nafasi cdm tena bali tumemuandalia nafasi kule magambani
 
Back
Top Bottom