Salamu nyingi tunazowasalimia wale tuliopoteana kwa muda huwa zinawaumiza pasipo sisi kujua

Let people share/talk about themselves when they are ready and comfortable......
IMG_20211217_214552.jpg
 
Tatizo na nyie mnachagua sana wanaume
Inawezekana ndiyo sababu mkuu, ila kiukweli hatutakiwi kuchagua sana ila inabidi kuwe na vitu basic vya kuangalia siwezi mkubalia tu hata mvuta bangi na mvaa kata k eti sababu kanitangazia ndoa no, ndoa ni kifungo cha maisha kile tujitahidi kutafuta wafungwa wenzetu ambao tutaenda nao sawa. Hivo tu
 
Hapo sawa!

Ila kiukweli sasa hivi wanaume tumebaki wachache sana wajameni. Siyo kwamba wachache kwa idadi hapana. Wanaume ni wengi ila walio tayari kuingia kwenye majukumu ni wachache sana

Huwa nikiangalia kina dada wako tayari kuolewa ila wanaume wapo wapo tu kama mrenda yani hayajitambui kabisa.

Sijui kizazi cha miaka 10 ijayo kitakuwaje aisee!?

Yani natamani nikutafute uliko sister
 
Nimeipenda staili yako ya utongozaji hahah
 
Binafsi sipendi maswali mengi tukikutana

Mambo vipi.... fresh

Long time mzee.... Ah kitambo sana

Kwema?...... Ah kwema mzee

Aise gudi sana mkuu....... (story zingine zinafuata)

Imeisha hiyo

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Maswali ya kijinga sana hayo..............Salaam tu inatosha, mambo mengine yanabaki kama yalivyo.......
 
Nilikutana na classmate hospital ana mimba kubwa baada tu ya salamu nikamwambia hongeraa mtoto wa ngapi huyo? (Aliolewa miaka mi5 iliyopita so kwa uelewa wangu mdogo nikajua atakua na watoto wengine).

Baada ya lile swali nilimuona kabadilika kawa kama na huzuni, akanijibu 'Huyu ndio wa kwanza'.... nilijiskia vibaya sana na kujuta kwanini nilimuuliza nashukuru tu hakuchukia tukaendelea na story.

Kuna umuhimu wa kupima maneno/maswali yetu kabla hatujayatamka ili tusiumize wenzetu.
Hilo mbna sio swali gumu coz mjanzito, ingekua hana hapo sasa ni noma.
 
Yeye:za siku M?
Mimi: nzuri
Yeye:utakuwa una watoto wengi sasa
Mimi:Noo,,siyo wengi wawili tu
Yeye:Umeolewa?
Mimi: nikiwa nimekunja ndita,Kwan wewe umeoa?
Yeye:Kitambo sana na ilishanishinda ndoa yenyewe!
Mimi: mwenyewe ilishanishinda!
Yeye: kwahiyo unaishije?
Mimi:Kama unavyoishi.
Yeye: Ha ha haa,M bhana..mimi ni mwanaume
Mimi: Hahahaa,nami ni mwanamke bro!!!
 
Me nawajibugi kaa chini usubiri maana ukisimama utaumwa miguu kwa kusubiri, baada ya hapo nakwambia nisikilize kwa makini usirudie kumuuliza mtu swali kama hilo hujui mtu anapitia nini kwa wakati huo, kumuuliza swali kama hilo unamuongezea machungu na unaweza sababisha mtu akukosee adabu au akutukane,

Kuna siku tuko kwenye sherehe tuko na dada mmoja hajaolewa na ilikua send off ya mdogo ake imagine akaja mmama anamwambia enhee flani we unaoelewa mdogo wako ndo huyo anaolewa yaan unaona kabisa mtu ananyong’onyea anaumia moyoni sikuamuacha salama yule mama
 
Tabia nyingine ni mtu mlisoma nae au kuishi nae siku za nyuma. Akipata namba yako tu kitu Cha Kwanza ni kuomba picha zako iwe kwa wanaume au hata wanawake wenzangu naichukia Sana.
mbavu zangu mie lol.
 
Back
Top Bottom