Salamu kwenu wabunge mliopitisha sheria kandamizi ya Madai ya kustaafu watumishi wa umma

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
FB_IMG_1542453649182.jpeg
 
Mbunge wa Tanzania akimaliza muda wake anataka apewe kiinua mgongo chake chote kwa mkupuo na wamejiwekea utaratibu huo kisheria maana muda wao unajulikana ni kila baada ya miaka mitano.

Mbunge huyo huyo ametunga sheria kwamba Mstaafu wa utumishi wa uma hapa Tanzania apewe 25% ya alichojikusanyia kwa muda wake wote wa utumishi na 75% (haijulikani kama 75% ya chote kilkichobakia ) atalipwa kidogo kidogo kwa miaka 12 na endepo akifariki basi mtegemezi/wategemezi wafaidika na malipo ya mwezi kwa muda muda miezi 36 tu (hapa ni bila kujali kiasi ambacho kilikuwa kimebaki kwenye hiyo 75%)

Pia wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa, kigezo cha mtu kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika tu lakini wakati huohuo dereva wake lazima awe na cheti cha kidato cha nne (kuwa na cheti lazima ufaulu). Mtu huyo huyo anaejua kusoma na kuandika tu tena kwa lugha ya kiswahili na wala hana taaluma yeyote anapewa jukumu kubwa na serikali la kutunga sheria, sheria hiyo inapelekwa kutafsiriwa na mtu mwenye DEGREE na maisha yanaendelea kama kawaida.
Huu ni udhalilishaji wa matumizi mabaya kabisa kwa karne hii na kutokana na hayo ndy maana hatuoni ufanisi unaotokana na bunge letu kwa sababu hizi

Haki haitolewi bali inatafutwa kwa udi na ufumba so lazima tuweze kudai katiba ambayo tulitoa mapendekezo kuhusiana na haya mapungufu kwenye taasisis zetu nyingi ambazo zinatuongoza
 
Wanafanyia biashara zao halafu hawa wagawii FAID wanachama wao wenye haki na hizo hela. Wanajengea hela zetu MADAJA halafu tukitaka kuvuka tuna ambiwa tulipe TOZO.

Mfano, daraja la kigamboni limejengwa na NSSF tukitaka kuvuka lazima tulipe tozo.

Wito wangu, wange anzisha SYSTEM mtu akitaka kuvuka wawe wanauliza na VITAMBULISHO VYA NSSF, kama ni member wa NSSF waruhusiwe kuvuka bure, hela walizotumia ni haki yako ki SHERIA na IMANI.

Inasikitisha sana,
 
Tatizo hakuna vyama vya wafanyakazi vyenye nguvu,huko kwa wenzetu serikali na waajiri wanaogopa sana Unions.Hii kitu ilitakiwa viongozi wawe wameshaitisha mgomo nchi nzima.lakini wapii.Asilimia kubwa ya viongozi wa Vyama vya wafanyakazi ni makada wa chama kongwe,sasa sijui wafanya kazi mnategemea nan atawapigania.
 
Mbunge wa Tanzania akimaliza muda wake anataka apewe kiinua mgongo chake chote kwa mkupuo na wamejiwekea utaratibu huo kisheria maana muda wao unajulikana ni kila baada ya miaka mitano.

Mbunge huyo huyo ametunga sheria kwamba Mstaafu wa utumishi wa uma hapa Tanzania apewe 25% ya alichojikusanyia kwa muda wake wote wa utumishi na 75% (haijulikani kama 75% ya chote kilkichobakia ) atalipwa kidogo kidogo kwa miaka 12 na endepo akifariki basi mtegemezi/wategemezi wafaidika na malipo ya mwezi kwa muda muda miezi 36 tu (hapa ni bila kujali kiasi ambacho kilikuwa kimebaki kwenye hiyo 75%)

Pia wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa, kigezo cha mtu kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika tu lakini wakati huohuo dereva wake lazima awe na cheti cha kidato cha nne (kuwa na cheti lazima ufaulu). Mtu huyo huyo anaejua kusoma na kuandika tu tena kwa lugha ya kiswahili na wala hana taaluma yeyote anapewa jukumu kubwa na serikali la kutunga sheria, sheria hiyo inapelekwa kutafsiriwa na mtu mwenye DEGREE na maisha yanaendelea kama kawaida.
Huu ni udhalilishaji wa matumizi mabaya kabisa kwa karne hii na kutokana na hayo ndy maana hatuoni ufanisi unaotokana na bunge letu kwa sababu hizi

Haki haitolewi bali inatafutwa kwa udi na ufumba so lazima tuweze kudai katiba ambayo tulitoa mapendekezo kuhusiana na haya mapungufu kwenye taasisis zetu nyingi ambazo zinatuongoza
Ni kweli mkuu huu ni ujinga
 
Wanafanyia biashara zao halafu hawa wagawii FAID wanachama wao wenye haki na hizo hela. Wanajengea hela zetu MADAJA halafu tukitaka kuvuka tuna ambiwa tulipe TOZO.

Mfano, daraja la kigamboni limejengwa na NSSF tukitaka kuvuka lazima tulipe tozo.

Wito wangu, wange anzisha SYSTEM mtu akitaka kuvuka wawe wanauliza na VITAMBULISHO VYA NSSF, kama ni member wa NSSF waruhusiwe kuvuka bure, hela walizotumia ni haki yako ki SHERIA na IMANI.

Inasikitisha sana,
Sawa!
IMG-20181118-WA0000.jpeg
 
Mbunge wa Tanzania akimaliza muda wake anataka apewe kiinua mgongo chake chote kwa mkupuo na wamejiwekea utaratibu huo kisheria maana muda wao unajulikana ni kila baada ya miaka mitano.

Mbunge huyo huyo ametunga sheria kwamba Mstaafu wa utumishi wa uma hapa Tanzania apewe 25% ya alichojikusanyia kwa muda wake wote wa utumishi na 75% (haijulikani kama 75% ya chote kilkichobakia ) atalipwa kidogo kidogo kwa miaka 12 na endepo akifariki basi mtegemezi/wategemezi wafaidika na malipo ya mwezi kwa muda muda miezi 36 tu (hapa ni bila kujali kiasi ambacho kilikuwa kimebaki kwenye hiyo 75%)

Pia wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa, kigezo cha mtu kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika tu lakini wakati huohuo dereva wake lazima awe na cheti cha kidato cha nne (kuwa na cheti lazima ufaulu). Mtu huyo huyo anaejua kusoma na kuandika tu tena kwa lugha ya kiswahili na wala hana taaluma yeyote anapewa jukumu kubwa na serikali la kutunga sheria, sheria hiyo inapelekwa kutafsiriwa na mtu mwenye DEGREE na maisha yanaendelea kama kawaida.
Huu ni udhalilishaji wa matumizi mabaya kabisa kwa karne hii na kutokana na hayo ndy maana hatuoni ufanisi unaotokana na bunge letu kwa sababu hizi

Haki haitolewi bali inatafutwa kwa udi na ufumba so lazima tuweze kudai katiba ambayo tulitoa mapendekezo kuhusiana na haya mapungufu kwenye taasisis zetu nyingi ambazo zinatuongoza
Daa nimepitia hapa mpk najikuta roho inauma
 
Unaitwa ubinafsi wa mwafrica, kuangalia ya Leo wakiwa nje ya system ndo akili zinarudi kujua umuhimu wake,kumbe ukipanda miba uchoma wote
 
Back
Top Bottom