Elections 2010 Salamu kwako Mjomba -Tanesco

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
dakika chache kabla ya JK kumaliza kuutubia Moshi uwanja wa mashujaa, Tanesco wamekata umeme. Je ni salamu kwa mjomba?
 
TANESCO wangekuwa na efficiency ya kuweza kupanga umeme unakatika wapi, na saa ngapi, ningeweza kusema kuna conspiracy imepangwa hapa.

Lakini hata uwezo huo hawana, hivyo inawezekana kabisa hili lilikuja bila kutarajiwa.

Wahindi wanakwambia "Karma" hiyo, unavuna ulichopanda. Huwezi kupanda ahadi tupu na kuvuna umeme wa uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom