CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 11,630
- 25,648
WAKUU.
Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching.
Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili.
1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo ni BOX TO BOX.
Baada ya Lwanga kuumia hatuna kiungo wa UKABAJI namba sita wakakakaa kimya na kunibeza.
2. Niliwashauri kutafuta mshambuliaji wa Maana kariba ya mayele ambaye ni cezer Lobi Manzoki wameshindwa Hadi sasa. Hivi UNAMUACHA mugalu na kagele unatuletea MZUNGU wa KUKAA benchi?
3. Niliwashauri kuwa na uvumilivu wa Hawa makocha mtindo wa kubadili Sana makocha unaigharimu timu. Mmepoteza kocha mzuri kama gomezi itawachukua miaka kupata kocha aina ya Gomezi.
4 Mazoezi kukosa privacy, Hili nalo nimekuwa nilishauri. Utulivu unakosekana Sana wakati wa Mazoezi.
5. Simba unashindwa kuzichanga vizuri Nje ya uwanja inapocheza na Yanga, watu kama akina kaduguda, Dalali , Rage nk wapewe heshima zao na waheshimiwe mawazo na ushauri wao. Kimya.
6. Sina mengi ya kujadili kuhusu mchezo wa Leo yote niliyajua na niliyaona.
BILA MAONGEZO YA CDM NA MSHAMBULIAJI MANZOKI UBINGWA TUTAUSIKIA KWENYE REDIO.
TRY AGAIN NA MANGUNGU MJIUZURU KAZI IMEWASHINDA.
MANGUNGU mtamuonea Bure, kazi yake ni kufungua na kufunga Mikutano....WAKUU.

5 ni washirikina tupu na yanga leo ndio wametuumiza hapo.....viongozi kutoa ela ya mambo ya giza hawataki wanaamini mpira ni sayansi na si ushirikinaWAKUU.
Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching.
Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili.
1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo ni BOX TO BOX.
Baada ya Lwanga kuumia hatuna kiungo wa UKABAJI namba sita wakakakaa kimya na kunibeza.
2. Niliwashauri kutafuta mshambuliaji wa Maana kariba ya mayele ambaye ni cezer Lobi Manzoki wameshindwa Hadi sasa. Hivi UNAMUACHA mugalu na kagele unatuletea MZUNGU wa KUKAA benchi?
3. Niliwashauri kuwa na uvumilivu wa Hawa makocha mtindo wa kubadili Sana makocha unaigharimu timu. Mmepoteza kocha mzuri kama gomezi itawachukua miaka kupata kocha aina ya Gomezi.
4 Mazoezi kukosa privacy, Hili nalo nimekuwa nilishauri. Utulivu unakosekana Sana wakati wa Mazoezi.
5. Simba unashindwa kuzichanga vizuri Nje ya uwanja inapocheza na Yanga, watu kama akina kaduguda, Dalali , Rage nk wapewe heshima zao na waheshimiwe mawazo na ushauri wao. Kimya.
6. Sina mengi ya kujadili kuhusu mchezo wa Leo yote niliyajua na niliyaona.
BILA MAONGEZO YA CDM NA MSHAMBULIAJI MANZOKI UBINGWA TUTAUSIKIA KWENYE REDIO.
TRY AGAIN NA MANGUNGU MJIUZURU KAZI IMEWASHINDA.
Nakazia uzi...WAKUU.
TRY AGAIN NA MANGUNGU MJIUZURU KAZI IMEWASHINDA.
1. Kama kuna mchezo ambao Matola alipaswa kuonyesha umuhimu wake kuwa assistant coach ni leo..nadhani simba watafute ass. Coach mwingine, amechezea simba, amekuwa ass. Coach muda mrefu, lkn sifa hizo hazina mchango wowote kwa timu inapocheza mchezo km wa leo, sabab michezo inatofautiana, kitu cha kwanza kabisa ambacho simba players hawakuwa nacho ni winning spirit, walionekana wazi kabisa hata kwa kuwatizama kabla ya mchezo kuanza hawakuwa na spirit ya ushindi tofauti na yanga players..na Matola kwa uzoefu wake alipaswa kuwaandaa players kwa hili.Shida ya Simba ni huyo myopic Matola ndio anaewashauri hao viongozi,kama tutaendelea kumtegemea Mkude kiungo mkabaji anaeduwaa uwanjani msimu huu tutatoka kapa
Viongozi ndio wanasikiliza ujinga kama huu.Mzungu yule yuko vzr, sema no kiungo wa kutoa pass mpenyezo kama alivofanya Aucho ndo hakuna.
Lait yule jamaa angepata mtu wa kumlosha yuko poa sana. Anticipation yake ni baabkubwa.
All in all njmefurah kolo kufa maana aliikejer sana yanga baada ya kupoteza kwa vipers. Sasa tukutane ligi kuu tuonyeshane makali maana huko kimataifa hakuna kombe huko labda tu makundi au kwa miujiza quarter.
Acheni kuwalisha ujinga viongozi nyie utopolo.Yule mzungu ampate chama tu atafunga sana bonge la player lile
Ni kweli mkuu hatuna kocha, huwezi fanya sub ya chama ambaye alicheza vizuri unamwingiza Mzamilu, alipaswa amuache Chama achieve na Okra na Okwa sina imani na kocha kabisa yaani anamuingiza mzungu wake kufanya majaribio kwenye mchezo wa Simba na Yanga? Na Kanoute mwenyewe simuelewagi sijui kwa nini walimwacha Lwanga.Kocha hamna pale
🤣🤣🤣🤣Mimi namuona Lewandoski ndani ya Dejan(Mzungu) tumpe muda tu.
Tupo pamoja mkuuShida ni kocha tu mimi sina shida na Mwenda wala Kakolanya shida ni kocha amini hili mkuu.