Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,602
- 14,831
SIku wakianza kutekwa wa chama chenu.Sasa hapo kosa langu ni lipi mkuu 😂😂
Ndo utakuja kuielewa hiyo comment yangu --- kwa sasa hatutoelewana mkuu
SIku wakianza kutekwa wa chama chenu.Sasa hapo kosa langu ni lipi mkuu 😂😂
Hacha uchawa ..utakufa vibaya wewe chawa pro maxUnaelewa maana ya "motivational quote"? Na nani amefurahia kuitwa chawa? Jifunze kusoma kwa utulivu kisha utoe comment.
Nani amekupangia cha kusema mkuu😂😂 unayohaki ya kuongea, kutukana, kufanya chochote unachotaka kufanya. 😂😂💊💉Nyumba mbovu miundombinu tunahama na tunataja sababu za kuhama wewe chawa usitupangie cha kuongea bando ni letu la kuendea live hajatupa shumileta!
Mimi sio mwanachama wa chama chochote mkuu. 😂😂SIku wakianza kutekwa wa chama chenu.
Ndo utakuja kuielewa hiyo comment yangu --- kwa sasa hatutoelewana mkuu
Kama hili uliloliandika ni kweli basi ndo mbaya zaidi mkuu.Mimi sio mwanachama wa chama chochote mkuu. 😂😂
Sawa, basi tuache uchawa na ukunguni mkuu... 😂😂😂😂Hacha uchawa ..utakufa vibaya wewe chawa pro max
Ni mwanachama wa chama Cha Machawa....🤣🤣🤣Mimi sio mwanachama wa chama chochote mkuu. 😂😂
Haiseeee😂😂😂Ni mwanachama wa chama Cha Machawa....🤣🤣🤣
Halafu anajiona ana akili balaa. Akishapaniki anaanza kutukana. Hopulesi kabisa!🚮🚮🚮We jamaa chenga sana na viqoutes vyako uchwara hivi.
😂😂😂 kwa nini nikutukane mkuu, mimi sio wa matusi.... ingawa kuna wakati unavyokuja ndivyo unavyopokelewa.Halafu anajiona ana akili balaa. Akishapaniki anaanza kutukana. Hopulesi kabisa!🚮🚮🚮
Endelea na vikwotesheni vyako uchwara na uchawa wako huko. Pathetic!😂😂😂 kwa nini nikutukane mkuu, mimi sio wa matusi.... ingawa kuna wakati unavyokuja ndivyo unavyopokelewa.
Sawa mkuu, na wewe endelea nao hivyo-hivyo.😂😂Endelea na vikwotesheni vyako uchwara na uchawa wako huko. Pathetic!
Magu kakaa miaka 6, inabidi aendelee ili abalance mkuuPole pole kwangu ni Shujaa.
Samia Hatakiwi kuendelee kukaa pale Hana alicho sahau maana ka kaa miaka kumi inatosha
Akitoka nafasi yake utachukua wewe? Acha wivu wa kitoto.Pole pole kwangu ni Shujaa.
Samia Hatakiwi kuendelee kukaa pale Hana alicho sahau maana ka kaa miaka kumi inatosha
😁😁Kumbe na wewe ni CHAWA WA MAMA?
Kula block malaya wa kisiasa wewe