Salamu jamani

Juma1973

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
42
Reaction score
14
~Kama salam ni aibu
niko tayari niaibike kwa ajili yenu.

~Kama salam ni mali
niko radhi nifilisike
kwa upendowangu kwenu.

Kama salam ni
lawama ni bora
nilaumiwejuu yenu.

~Kama salam ni
kosa, niko radhi
nikosolewe lakini
kuwasalimu
sitoacha kamwe.

ASSALAAM ALEYKUM
 
Assalam alekhum lakini huwa sipendi salam za mikono,kisa ni hii hali...
 

Attachments

  • 1431056841560.jpg
    17.6 KB · Views: 105
Salamu yako nzuri sana aksante na uwe na siku njema
 
Na ww salam hiyo hiyo kutoka kwangu
 
Neno "NIKO TAYARI" liondoe.
 
Waleykum salam, Ijumaa Njema inshallah ufanikishe kila lenye kheir na Weye ...
 
Asante kwa Salaaamu mkuuu manaa inaleta raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…