Salama wakuu

Salama wakuu

Hanzk

Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
13
Reaction score
2
Jaman ninashida... Nina kamera imevunjika display.. Ni canon g 16. Naweza pata wapi screen? Nimezunguka madukan nimekosa... Na je nawezaje kuagiza kutoka nje kikanifikia?
 
agizia nje mkuu
 
Mcheck @mwlrct
Jaman ninashida... Nina kamera imevunjika display.. Ni canon g 16. Naweza pata wapi screen? Nimezunguka madukan nimekosa... Na je nawezaje kuagiza kutoka nje kikanifikia?
 
jisajili Aliexpress utaagiza unachotaka bila kujliza kwa watu..kuhusu malipo M pesa wametuletea mastercard
 
Back
Top Bottom