haya ni matatizo sana,,,,kila mtu hapa kwetu anataka kuheshimiwaheshimiwa tu, mbona baba wa taifa aliyafanya yote na watanzania twamkumbuka hadi leo, mifumo hii ihatufanya tumweshimu mke wa rais kama ndiye rais, sembuse rais makini naye hawez fanya hivi. hivi huu utaratibu wa kujikweza ndiyo nn? watu kama hawa elimu za bahati nasibu ndo mana hawana ustaarrabu...................
ndugu yangu zomba uwe unasoma kwa umakini bas,,,,,,,,kuna neno MFUMO nimelisema sana.........the system at work ndo ya kiaina, asa huelewi nini mpaka wajibu kiselasela tu,,,,,mfano hai umeoneshwa hapo..............tujibu hoja co maneno ya sokoni
Hii inamaanisha kwamba, Ombaomba wanaishi kama matajiri na Matajiri wanaishi kimasikini.
Hapana,Hivi mgeni wako aje umtandikie mkeka asiutumie si itakuwa kakutukana. Kwani huyo mama huwa anatembea na huo mkeka? wacheni ushamba, huo ustaarabu wewe unaujuwa au unausikia tu?
Mke wa rais, Salma Kikwete akimwagilia maji mti alipotembelea kituo cha kulea watoto cha SOS jijini Dar Es Salaam. Kinachogomba ni huyu mama kuwekewa mkeka kusimamia ili kumwagilia maji. Inashangaza viongozi wetu na wake zao wanavyoogopa udongo ilhali wametokea huko. Na isitoshe utajiri wanaochuma toka kwetu unatokana na udongo huu huu. Je huu ni mfano gani kwa vijana wetu kuhusu kupenda udongo na kufanya kazi za mikono? Ajabu huyu ni mke wa mtu anayejigamba kutetea sera yake ya Kilimo Kwanza. Hapa ni Kilimo Kwanza au Usafi Kwanza? Hivi nani anawashauri watawala wa namna hii ambao wnaishi kwenye Alinacha na dunia feki? Kwanini hawakujifunza kwa watawala walioonja chungu ya kuishi kwa kujidanganya kama Muamar Gaddafii ambaye hakuwa akijua kuwa walibya walikuwa wakimchukia hadi kumuu kwa kipigo kama mwizi? Nisaidieni jamani.
Kama hawa viongozi wanakuwa na kinyaa, kwanini wafanye hiyo kazi?? waache tu, huwa inapendeza kama akifanya uhalisia, sio acting!!