Ahsante kwa maelezo mafupi, ila hapo kwenye red unamaanisha A twn mkoa au ndio jina la school.
Kuhusu Fetty na Salama kila mmoja ana sifa na vivutio vyake, kuna anavyoweza Fetty Salama hawezi na vice versa.
Ila kuna mambo wanashahibiana, wote ni mashombe, wote ni wana vielementi vya kidume haswa ugomvi, nimeshamsikia Fetty mara kadhaa anachimba biti akiwa hewani...aliwahi kumchimba biti dogo mmoja wa bongo fleva akiwa kwenye interview xxl...something like...nitakuzibua (kama nakumbuka vema), Salama anatumia cha Arusha ila sina uhakika kwa Fetty ila najua anakula gomba...siku moja alikuwa anatoa ushuhuda jinsi jamaa zake walivyodakwa na mamwela yeye akaachwa wakati wote walikuwa wanachanja gomba.
And last but not least...napenda kuwasikiliza na kuwaangalia wote.