Y yewomi Member Jul 20, 2012 78 27 Jul 21, 2012 #1 habari zenu,,mm ni mwanachama mpya wa hii forum ushirikiano ni wa muhimu
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Jul 21, 2012 #2 Umepotea jukwaa. Anyway! welcome.
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Jul 21, 2012 #4 Karibu,ila umepotea jukwaa,hapa tulitarajia picha!
Collins Senior Member Jul 19, 2012 145 48 Jul 21, 2012 #5 yewomi said: habari zenu,,mm ni mwanachama mpya wa hii forum ushirikiano ni wa muhimu Click to expand... nitumie message nikukaribishe
yewomi said: habari zenu,,mm ni mwanachama mpya wa hii forum ushirikiano ni wa muhimu Click to expand... nitumie message nikukaribishe
BHULULU JF-Expert Member Jun 28, 2012 4,987 2,009 Jul 21, 2012 #6 Nimefungua fasta nafikiri ni picha, ila karibu sana!
T TEGEMEA JF-Expert Member Jan 25, 2011 369 56 Jul 21, 2012 #7 Karibu sana mkuu.Ila kabla ya kupost soma jina la jukwaa.
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member May 24, 2008 3,736 2,137 Jul 21, 2012 #9 Never give up said: kuku mgeni..... Click to expand... siku hizi kamba shingoni siyo mguuni