kintakunte
Member
- Apr 21, 2012
- 42
- 8
Mna force vitu visivyo na maana ile show haikuandaliwa for kiba tu sioni mantiki ya kumaindi salam kuwa backstage connections hazipatikani VIP.Nimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,
Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba backstage hakukai sound MTU anaweza zima sound just kwa ku ORDEr then umekili kuwa ulikuwa backstage wewe wizkid na meneja wa chriss brown katika mazingira ambayo shoo ilisimama kwa nusu saa kutokua na uelewano apande ali Ana wiz kid then katika mazingira yaleyale ya we we kuwa na wizkid,meneja wake na Chris's brown bado kunaacha shaka kwamba unaweza kuwa ili influence mitambo kuzima katika perspective ya kibiashara coz ulienda tangaaza ama uza bishaa yako dhidi ya bidhaa iliyokuwa ina perform yumkini
Nimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,
Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba backstage hakukai sound MTU anaweza zima sound just kwa ku ORDEr then umekili kuwa ulikuwa backstage wewe wizkid na meneja wa chriss brown katika mazingira ambayo shoo ilisimama kwa nusu saa kutokua na uelewano apande ali Ana wiz kid then katika mazingira yaleyale ya we we kuwa na wizkid,meneja wake na Chris's brown bado kunaacha shaka kwamba unaweza kuwa ili influence mitambo kuzima katika perspective ya kibiashara coz ulienda tangaaza ama uza bishaa yako dhidi ya bidhaa iliyokuwa ina perform yumkini
Kumbe umeshamshitukia kwamba hata kuandika Kiswahili tu kwake taabu!Poa. Sasa jifunze kuandika basi.
Yaani hakuna mtu ninayemshangaa kama anayeona Sallam kuwa backstage ni big issue! Anyway, kwa mashabiki wa kawaida najitahidi kuwaelewa lakini Kiba ndo kanishangaza kwelikweli hilo jambo kulikuza wakati anafahamu kabisa kwamba wadau kwenda backstage ni jambo la kawaida sana! Hata Swizz Beatz miezi michache iliyopita kule New York alikutana na Diamond backstage!! Sasa sijui Swizz Beatz alikuwa anahusika na ile show!!Mna force vitu visivyo na maana ile show haikuandaliwa for kiba tu sioni mantiki ya kumaindi salam kuwa backstage connections hazipatikani VIP.
Hapo ndipo utashangaa uwezo wa kufikiri wa watu wengi, yani ni ujinga mtu kuhoji kitu kama hicho wakati anajua wazi wadau hukutana backstage kuna connection nyingine ukishindwa kuzipata backstage ndo nitolee hukai ukazipata tena.Yaani hakuna mtu ninayemshangaa kama anayeona Sallam kuwa backstage ni big issue! Anyway, kwa mashabiki wa kawaida najitahidi kuwaelewa lakini Kiba ndo kanishangaza kwelikweli hilo jambo kulikuza wakati anafahamu kabisa kwamba wadau kwenda backstage ni jambo la kawaida sana! Hata Swizz Beatz miezi michache iliyopita kule New York alikutana na Diamond backstage!! Sasa sijui Swizz Beatz alikuwa anahusika na ile show!!
Upo sahihi kwa 800%!! Michongo mingi inaanzia backstage!Hapo ndipo utashangaa uwezo wa kufikiri wa watu wengi, yani ni ujinga mtu kuhoji kitu kama hicho wakati anajua wazi wadau hukutana backstage kuna connection nyingine ukishindwa kuzipata backstage ndo nitolee hukai ukazipata tena.
Umeumizwa sn na hii kitu aisee yani ni kama umekunya boga vile,pole snNimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,