Saladi Ya Majani (lettuce) Na Mapilipili Mboga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saladi Ya Majani (lettuce) Na Mapilipili Mboga.

Discussion in 'JF Chef' started by X-PASTER, Jul 14, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Saladi Ya Majani (lettuce) Na Mapilipili Mboga.

  VIPIMO

  Saladi ya uwa (ya duwara).............. 1

  Matango.............. 2

  Karoti.............. 2

  Pilipili kubwa la kijani hoho.............. 1

  Pilipili kubwa jekundu hoho.............. 1

  Nyanya.............. 2

  Limau au ndimu.............. 1  NAMNA YA KUTAYARISHA

  1. Katakata Saladi weka katika trey

  2. Ukipenda kumenya tango, menya na kata vipande vya duara.

  3. Kwaruza karoti na kata vipande vya duara au ukipenda kwaruza.

  4. Katakata mapilipili kwa urefu.

  5. Kata nyanya kwanza nusu kisha katakata vipande vyembamba.

  6. Changanya vizuri vitu vyote hivyo katika treya ya kupakulia na pambia kwa vipande vya limau au ndimu. Tayari kuliwa.
   
Loading...