salaam zenu toka kwa arsen wenger

salaam zenu toka kwa arsen wenger

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
nilikutana na mzee wetu wenger kitaa flani akila raha... anasema tusiwe na wasiwasi atasajili world class player wa 4


268101_251194928230328_153992474617241_1231565_5469713_n.jpg
attachment.php
 
Photoshopppppppppppppppppppp
Craaaap
 
Photoshopppppppppppppppppppp
Craaaap

ati photo shop... mzee wenger yupo summer vacations ... fuatilia habari mkuu ujifunze nini kinaendelea duniani
 
PhotoshoppppppppppppppppppppCraaaap
Hata wayahudi mpaka kesho wanapinga kuwa yesu si mwana wa mungu wanasema wao wanamsubiri masihi wakweli!Hata wewe unafanana nao!!
 
Raha asile ujanani aje kula uzeeni,na wenzake (mababu) wanafanya usajili mapema ye anakula bata,sisi tunataka kombe hata lambuzi,mzee kavu nini?
 
Raha asile ujanani aje kula uzeeni,na wenzake (mababu) wanafanya usajili mapemaaa ye anakula bata,sisi tunataka kombe hata lambuzi,mzee kavu nini?
 
Back
Top Bottom