Hahahaa nilijua hili lishamba langu limekwama mahali. Ulisahau kweli au ndo mabadiliko ya jf tu, maana jana ile me mwenyewe nalog in nakuta password imegoma

Mie nilisahau mpaka nikakumbushwa, sikuingia huku tokea juzi sasa leo ndio nikaikumbuka jf, kila nikilog in inakataa kumbe nilibadiligi password ila nikasahau, ikabidi niulize