Bismillah Rahman Rahim
Baada ya kumaliza kwa salama Mwezi Mtukufu wa Ramadhan , napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Heri ya Sikukuu Wanachadema wote pamoja na wapenda haki wote popote mlipo duniani, nawatakia Sherehe njema ya Staha pamoja na baraka tele.
Ikiwa mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi, niwaombe sana muwe na umoja na mshikamano, msikubali kuyumbishwa na wachovu, waoga walioishiwa hoja, wapiga kura ni wananchi ambao wako pamoja nanyi kwa 100%.
Maandiko Matakatifu yanaelekeza kwamba Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri.
Wabillah Tawfiq
NO HATE NO FEAR