Salaam Wakuu

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Mungu akupe hekima ya kutowaamini watu wanaokuambia wanakupenda sana na eti daima watakuwa nyuma yako lakini,ukigeuka nyuma ghafla hawapo.
 
Attachments

  • 1484128154571.jpg
    1484128154571.jpg
    65.9 KB · Views: 130
Duh mtihani huu
Uelewa unakujaaa alafu unakata
Nani kaelewa hii post anieleweshe wakuu?
Inamaanisha kuwa makini na watu ambao wanajionesha kwako niwema lakini kumbe Wanahila na nia tofauti zakukukandamiza Maana ya pili chagua rafiki wakua nae naunae weza mueleza jambo akalichukulia kama lake nasikuku beza kwa wenzake
 
Pole sana...hii ndio DUNIA...jitahidi uwe karibu zaidi na Mwenyezi MUNGU kwetu sio rafiki mnafiki.
 
Sasa mafumbo ya nini mkuu si uweke wazi mambo tuu??
Hilo sio fumbu mkuu

Nineno lenye ufupisho. Fatilia comment zangu nimejaribu kuweka wazi zaidi

Fumbo Nikitu kinacho zungumzwa bila kuwekwa wazi lakini hapo hakuna kilicho jificha mkuu.

Nineno linalo maanisha mazingira flani
 
Inamaanisha kuwa makini na watu ambao wanajionesha kwako niwema lakini kumbe Wanahila na nia tofauti zakukukandamiza Maana ya pili chagua rafiki wakua nae naunae weza mueleza jambo akalichukulia kama lake nasikuku beza kwa wenzake
yani nashindwa kuelewa hiyo picha ina uhusiano gani na mada.
 
Mungu akupe hekima ya kutowaamini watu wanaokuambia wanakupenda sana na eti daima watakuwa nyuma yako lakini,ukigeuka nyuma ghafla hawapo.
Sasa chibudee achia kwanza hapo chini ya zio uliposhika kisha ufafanue mada
 
Hivi hii Style ya Vitoto vya Siku hizi kupiga Picha huku wameshikilia Uchi wao kwa Mkono Ina maanisha nini maana naona hata Wasanii wanatumia mtindo huo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom