Nimefanya Kaudadisi mkoani Iringa na Kugundua kwamba wana CCM wamejipanga kwa kina na vina kumuondoa Mchungaji Msigwa, bahati mbaya hakuna aliyeniambia ni kwa nini zaidi ya kusema ni sababu za kisiasa na lazima ang'oke
Kundi lingine lilisikika likimtaja Mwakalebela na wengine wamesema hajajulikana bado ila chama Tawala kikifanya makosa tena na kuweka mwanamke itakula kwao
Post kuhusu msigwa kwa mwaka huu Zaidi ya mara ishirini kuhusu kun'goka hii inaonyesha ccm akili yenu ilivyo ndgo mna serikali mnakusanya kodi lakini suala msigwalinawanyima usingizi.huyo mwakalebela ndio nani kwenye ccm?? Walikuepo akina Anna kilango,kangi lugola,luaga mpina,ole sendeka na kessy pAmoja kelele zao zote wamebadili nini ndani ya ccm ??wako kimya kama Maji ya kwenye dimbwi.huyo mwakalebela Wako mwenye mashavu kama embe dodo ndiyo atafanya nini kwenye ccm.wewe ni punguani na bahasha zenu za kaki hizo
Hiyo itatokea tu pale vijana wengi mtakapo acha kupiga kura. Daftari la mpiga kura likianza kutembea tuhimizane wote wenye sifa, ile ndio silaha ya uhakika ya kuwashinda wote wenye hila chafu.Nimefanya Kaudadisi mkoani Iringa na Kugundua kwamba wana CCM wamejipanga kwa kina na vina kumuondoa Mchungaji Msigwa, bahati mbaya hakuna aliyeniambia ni kwa nini zaidi ya kusema ni sababu za kisiasa na lazima ang'oke
Kundi lingine lilisikika likimtaja Mwakalebela na wengine wamesema hajajulikana bado ila chama Tawala kikifanya makosa tena na kuweka mwanamke itakula kwao
Post kuhusu msigwa kwa mwaka huu Zaidi ya mara ishirini kuhusu kun'goka hii inaonyesha ccm akili yenu ilivyo ndgo mna serikali mnakusanya kodi lakini suala msigwalinawanyima usingizi.huyo mwakalebela ndio nani kwenye ccm?? Walikuepo akina Anna kilango,kangi lugola,luaga mpina,ole sendeka na kessy pAmoja kelele zao zote wamebadili nini ndani ya ccm ??wako kimya kama Maji ya kwenye dimbwi.huyo mwakalebela Wako mwenye mashavu kama embe dodo ndiyo atafanya nini kwenye ccm.wewe ni punguani na bahasha zenu za kaki hizo
Khaa!! Wenzako hawalijui hilo. Akili zao ndefu kama mkia wa mbuzi :cool2: Tusubiri 2015Unajuwa msigwa alipita kwa sababu ya ccm yenyewe?
Walipomuondowa mwakalebela watu wakagawanyika na kupiga kura za chuki
chadema 2015 wakirudisha wabunge bungeni hawatazidi 5 tu
mwakalebela hana jipya mkuu,amejitangaza kupitia kugawa vijezi na vimpira tu zaid ya hapo hana sera.
Kingne wanasahau kuwa msigwa hajaanza siasa 2010 alishawahi kugombea ubunge kabla ya hapo,huyu anayafahamu vema mazngira ya kisiasa nje ndani pale iringa
mwache mwakalebela atazeeka na kwa kusubiria amshinde msigwa arud tu Tff akaombe hata uafsa habari,ila bahat mbaya kule wamejazana kna shomile
Zitto anaijua shughuli ya Msigwa. Acha Msigwa awe na maadui wengi JFPost kuhusu msigwa kwa mwaka huu Zaidi ya mara ishirini kuhusu kun'goka hii inaonyesha ccm akili yenu ilivyo ndgo mna serikali mnakusanya kodi lakini suala msigwalinawanyima usingizi.huyo mwakalebela ndio nani kwenye ccm?? Walikuepo akina Anna kilango,kangi lugola,luaga mpina,ole sendeka na kessy pAmoja kelele zao zote wamebadili nini ndani ya ccm ??wako kimya kama Maji ya kwenye dimbwi.huyo mwakalebela Wako mwenye mashavu kama embe dodo ndiyo atafanya nini kwenye ccm.wewe ni punguani na bahasha zenu za kaki hizo
Jimbo lenye watu Werevu ni pamoja na Iringa mjiniWananchi wa iringa wawe makini mwakani, ccm itatumia kila mbinu ili kupata jimbo, ni vizuri wananchi wakajitambua!