Salaam kutoka Gerezani Dodoma: BAVICHA yatangaza ushindi

Jovi police kuwashikilia watu ambao hawana makosa ndio huwa wanaona sifa ya kutaka kupandishwa cheo.

police acheni kuwaonea wanyonge kwaajili kutaka kupandishwa vyeo.
kama ipo ipo tu msilazimishe vyeo. fanyeni kazi kama vyeo vitakuja kwa wakati wake.
 
Tunajua mnaotetea wakoloni weusi niwale mnaofaidika nao..nakuwanyonya wanyonge lkn IPO siku
 
Ni lini polisi ilikataza mikutano hiyo ya ndani ya kisiasa?

Yaani mlijitengenezea sanamu ya polisi halafu mkaanza kupambana nayo halafu mnataka mjisifu??

Aliyepotosha tangazo la polisi na Magufuli ni ninyi wenyewe...jana limefafanuliwa mnakuja kujidai washindi haha ha kweli hii ndio bavicha uchwara ....Tarehe 23 mngevunjika miguu haswa....sasa wapeni nauli wale waliojiandikisha kuja kusaidiana na polisi warudi makwao ...halafu sijui makamanda mtamsikiliza nani kati ya lowassa au Mbowe katika aina ya siasa mnazotaka kuzifanya.
Yaani siasa za ulaghai siasa za ujanja ujana wanataka eti kuaminisha kuwa polisi walikata mikutanoya ndani. Hata siku moja hawakuwahi kukakataza. Pole zao nyingi sana. Ila mfa maji haachi kutapatapa!
 
wazazi tunashida....
 
Back
Top Bottom