Wana JF habari za masiku.
Hakika lazima niingie kwa kupiga hodi kwani tangu mwaka uanze sijaonekana uwajani hapa, sasa ndugu zangu nipo na nimerudi kwa saaaaaana baada ya kuwa likizo ya kupumzisha kichwa kutokana na masakarang'ang'a ya watawala wetu wanayoendelea kutuonesha.
Wote nawasalimia sana bila kutaja majina kwani kwangu nyote ni muhimu.
Aksanteni.
Miwatamuuuuuu!!.