Salaaam zangu za x-mas na mwaka mpya.

Salaaam zangu za x-mas na mwaka mpya.

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,988
Reaction score
1,437
Namshukuru Mungu kwa 2012 kwa kila jambo, bila ya kusahau family yangu ndugu zangu,na rafiki zangu.

Shukrani za pekee ziwaendee members wote wa JF kwa ushauri wao mbalimbali.pia tusamehe popote pale tulipokoseana au kukwazana kwa namna moja au nyingine kutoka na tofauti zetu

Tufanye kazi kwa bidii kujenga family zetu ili ziwe bora na Taifa letu kwa ujumla

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MARRY X-MAS AND HAPPY NEW YEAR 2013
 
Back
Top Bottom