Yani ili mradi mtuseme tuuuu....
Naunga mkono hoja
tatizo nature tatizo nature hairuhusu mwanamke ku initiate mazungumzo,mwanamme ukiwa nauwezo wa kutunza mwanamke utaoa tu hata kaa unasura mbaya kiasi gani labda uamue mwenyewe kutooaAcha unyanyasaji wa kijinsia. Mbona hujaweka wanaume wanavyo sali?
Kwenye kuolewa si kuna waoaji?
Zamani waislamu walikuwa wanatudanganya kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume wkt ukweli kwa sasa wanaume wanazidi kidogo wanawake
unajua sala ambazo huwa wanasali mabinti wa kilokole ambao hawajaolewa
hebu pitia hapa nimezipanga kulingana na umri wao
1.miaka 21-24 hawa bado wako chuo na wanajiona bado wadogo so wengi wakati wa maombi huwa wako bize na jamii forum,wasap au facebook wakati waumini na mchungaji wapo bize kuomba
2.miaka 25-29 sikia sala yao,eee Mungu wa Israel Mungu wa Isaka Mungu wa Yakobo,ukasema mtu huyu asikae peke yake ukamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake,baba na mimi naomba unipatie wangu baba najua yuko mahali umeshamuandaa kwa ajili yangu baba asante baba kwani kwako hakuna lisilowezekana baba.
3.miaka 30-35 Baba kama Sara alivyobeba mimba ya isaka akiwa na miaka 90 ,haijalishi nina miaka mingapi kwani kwako kwani umesema katika kile kitabu cha blablabla miaka elfu moja ni kama siku moja na siku moja ni kama miaka elfu moja kwako, naamini Baba unaposikia sala hii nikitoka hapa tayari nimeshampata wangu sitajalii sura yake wala sitajali kama ana kazi au hana sitajali kipato chake wala nini baba kwani najua hivyo vyote ni ubatili mtupu
4.miaka 35 na kuendelea,hawa huwa kimya wakiwa wamekata tamaa na kimoyomoyo wakiimba ule wimbo wa teeenda miujiza,teeenda miujiza ,mwaka huu usipite bila kutenda miujiza
tuwaombee dada zetu
Vyovyote itakavyokuwa.... Mabinti wa kilokole wamesamehewa dhambi, Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yao, tumaini lao ni kwa mwokozi. Wakati wa Bwana ukifika wataimba wimbo mpya na kung'ara kama tai. Halleluyah...
Nawatia moyo wote ambao wanahisi muda wa kuoa na kuolewa umeshapita, nakuambia haujapita. Hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Endelea kusubiri maana wakati na muda usiodhani muujiza wako unatokeza. Majira na nyakati ni za wanadamu, lakini yeye aliyeumba majira na nyakati hakika anajua hatima yako. Our destiny is in Gods Hands. See first the kingdom of God..
Daah mpendwa, yani umenifanya nianze kuyaevaluate matendo yangu upyaaa jamani!!. Hiyo picha ni unanionea huruma au?Hivi mpendwa umeokoka?
![]()
Daah mpendwa, yani umenifanya nianze kuyaevaluate matendo yangu upyaaa jamani!!. Hiyo picha ni unanionea huruma au?