Sala ya kuomba umeme ni muhimu.

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Jamani mimi ni muislam ila elimu yangu ni ndogo. Naomba kufahamu, hv waislamu hatuwezi kuomba tuondokane na janga hili la umeme? Mana nakumbuka miaka fulani hv mvua ilipo sumbua na ukame kushamiri, mashekh waliomba mvua na ikanyesha. Je hv haifai kuombea mtera maji yajae?
 
Mie nadhani tunahitaji sala ya kuomba walioshika madaraka sasa hivi waanguke toka madarakani na labda kuanguka kwao kutasaidia kuleta ahueni katika nchi yetu kwenye masuala mengi tu na si umeme peke yake.
 
Jamani mimi ni muislam ila elimu yangu ni ndogo. Naomba kufahamu, hv waislamu hatuwezi kuomba tuondokane na janga hili la umeme? Mana nakumbuka miaka fulani hv mvua ilipo sumbua na ukame kushamiri, mashekh waliomba mvua na ikanyesha. Je hv haifai kuombea mtera maji yajae?

Haya ndo mambo yanayotufanya tuwe masikini wa akili! Kila kitu tunatafuta pakujishikiza....kwa sababu nyepesi nyepesi!
 
sa ungekua na mawazo mazur si ungesema. Mbona umeishia ku koment tu. Na sasa hv utakosa kazi tuone wanao watakula nn, mana kasehemu kako ka kazi ndo kamesha athirika kwa kukosa umeme.
 
......sory nime maanisha mbona umeishia ku criticise tu? Toa hayo mawazo yako tuyapime hapa.
 
sa ungekua na mawazo mazur si ungesema. Mbona umeishia ku koment tu. Na sasa hv utakosa kazi tuone wanao watakula nn, mana kasehemu kako ka kazi ndo kamesha athirika kwa kukosa umeme.

Hahahahah haya bana tukarushe mawe Magogoni!
 
huyo huyo Mungu aliyetuumba alitupa ana akili kututofautisha na viumbe wengine.

Hatutumii akili tuliyopewa bure, kazi kumlilia lilia tu kila siku!

kung'angania tu maana moja....mvua! Nchi kibao hakunyeshi na bado umeme unapatikana!
 
Back
Top Bottom