waombaji ni 61000 bodi wanasema bajeti yao ni ya watu 30000 tu sasa hapo wewe kwa akili ya kawaida tu unaona wanaangalia wenye vigezo au ni sawa na kucheza bikoKwan hiyo mikopo inatolewa kwa miujiza au bahati nasibu?
Vigezo vya kutoa mkopo vipo waz
S0605-0130Index no ya fom 4 nitajie
Pole mkuu Kama imekukelaDogo acha dharau bas!!
Mungu wewe ndo tegemeo letu la kweli daimaKwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu
Kwa sababu fedha na mali ni mali yake...
Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo
Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi mwenyewe
Aliyepata,aliyekosa ajitoe hata useme neno moja
Kwa kimoyomoyo Mungu awasaidie watoto hawa wapate mikopo kama mapenzi yake Muumba...
Kijana wangu ananitia simanzi kwa kweli nipeni pole
Lishurutishe, usiliombe.Pepo la kukosa mkopo naomba toka kabisa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
kwel aisee j3 usajili unaanzaHalafu toka watoe batch 1 wako kimyaaa!!! Vyuo ndo vimebakiza siku 5 vifungue!!! Hii shida sana! Ni vizuri watoe mapema kwa walio-confirm tayari ili watu wajipange mapema kusuka au kunyoa! Wiki hii ndo ya mwisho!!