Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 647
- 565
Unaweza kuwa na z vigezo bado ukakosa...heslb na wao binadamu wanajisahau...ndo mana tunaomb mungu atuepushe na hilo baraaa...hiyo gundu isitukuteKwan hiyo mikopo inatolewa kwa miujiza au bahati nasibu?
Vigezo vya kutoa mkopo vipo waz
Kama ndivyo kwann usimwombe mungu akupe mkopoKwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu
Kwa sababu fedha na mali ni mali yake...
Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo
Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi mwenyewe
Aliyepata,aliyekosa ajitoe hata useme neno moja
Kwa kimoyomoyo Mungu awasaidie watoto hawa wapate mikopo kama mapenzi yake Muumba...
Kijana wangu ananitia simanzi kwa kweli nipeni pole
Weka usernameWakuu na mie mnichekie. Paswd yng ni 0716143838
Aisee mbna skumbuk. Au nkutumie namb ya form4Weka username
Kweli wewe unahtaji msaada hata mkopo wakupe tu hata kurejesha usilejeshe
Dogo acha dharau bas!!Kweli wewe unahtaji msaada hata mkopo wakupe tu hata kurejesha usilejeshe
Index no ya fom 4 nitajieWakuu na mie mnichekie. Paswd yng ni 0716143838