The Supreme Conqueror JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 609 Reaction score 1,576 Aug 11, 2022 #1 Simba yakutana na malalamiko kutoka kwa chama cha wenye ualbino Tanzania.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,542 Reaction score 81,342 Aug 11, 2022 #2 Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama special group waliotengwa.
Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama special group waliotengwa.
albab JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 2,064 Reaction score 3,505 Aug 11, 2022 #3 kuna mambo ni upuuzi tu wakati mwingine....... na sisi weusi tulalamike manara kutufanya walinzi wake alitudhalilisha......😂
kuna mambo ni upuuzi tu wakati mwingine....... na sisi weusi tulalamike manara kutufanya walinzi wake alitudhalilisha......😂
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,599 Reaction score 97,120 Aug 11, 2022 #4 Chaliifrancisco said: Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama specail group waliotengwa. Click to expand... Kama ambavyo wanawake wanajiona.
Chaliifrancisco said: Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama specail group waliotengwa. Click to expand... Kama ambavyo wanawake wanajiona.