Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Wazee wawatu wamechoka ile mbaya nawaona hapa ndio wanapita barabara ya bibi titi karibu na maktaba kuu ya taifa.sijui hata wanakwenda wapi wakongwe wawatu.Kweli hii serikali ya kikwete sijui baada ya miaka miwili itakuajeWazee wa EAC wametolewa bararani kibabe na sasa magari yameanza kupita. Kandoro na Kova hawakusikilizwa kabisa. Kule Kigamboni nako kivuko kimenasa kwenye mchanga na watu wengi sana wamenasa.
Wazee wawatu wamechoka ile mbaya nawaona hapa ndio wanapita barabara ya bibi titi karibu na maktaba kuu ya taifa.sijui hata wanakwenda wapi wakongwe wawatu.Kweli hii serikali ya kikwete sijui baada ya miaka miwili itakuaje