Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

Vipi MUHAS wakuu? Naona ndio chuo pekee sijaona hizi vitu, am I wrong?
 
Hiyo orodha inaweza kuwa na ukweli maana inaonyesha kulikuwa na upungufu wa kupeleka vyeti, kwa hiyo wapo wengi ambao labda wakati wa uhakiki hawakuwepo nchini ndiyo maana inaonyesha incomplet submiting process. Hapo wanatakiwa wapeleke vyeti vyao halisi sehemu husika ili viweze kuhakikiwa.Kwa hiyo tuache kurukia kuwa alikuwa hana vyeti halisi

"Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba atajwa kuwasilisha vyeti pungufu
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, Today at 10:50 AM."
 
View attachment 506555

Katika orodha za taasisi mbalimbali ikiwepo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kitengo cha sharia, Waziri wa Sheria Prof.Kabudi ametajwa kuwasilisha vyeti pungufu. Tazama jina na 592

Ushauri: Waziri anatakiwa kujua kusoma na kuandika tu kwa hiyo nashauri afutwe kwenye orodha kwa mujibu wa Sheria na Katiba za Awamu ya Tano.
Hiv tunaweza kupata full list sabab na sisi wengine yamkin tukawepo ndg
 
View attachment 506555

Katika orodha za taasisi mbalimbali ikiwepo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kitengo cha sharia, Waziri wa Sheria Prof.Kabudi ametajwa kuwasilisha vyeti pungufu. Tazama jina na 592

Ushauri: Waziri anatakiwa kujua kusoma na kuandika tu kwa hiyo nashauri afutwe kwenye orodha kwa mujibu wa Sheria na Katiba za Awamu ya Tano.
Huyo si mtumishi wa umma .
 
Kuna wale waliopitia mfumo wa std 7, certificate, Diploma, Chuo kikuu na leo ni Maprofesa.
 
Baada ya Makonda kuwataja kwenye madawa sasa mnaanza na Nguli wa sheria kisa tu kamzodoa Lissu Bungeni?
Hivi ni nini cha pekee alichofanya Katika sheria. Sioni exceptionality yake kama mwanasheria wa kiwango cha prof. Au kila prof anakuwa na sifa ya nguli?
 
Inawezekana hakusoma A-Leval. Aliijiunga Chuo Kikuu kwa Sifa nyingine. Mfano; alipomaliza Kidato cha Nne alisoma Certificate na Diploma hatimae kupata Sifa za kujiunga na Chuo.
ivi ukisoma certificate ama diploma haupewi cheti, hakuna sehemu imesemwa lazima cheti cha kidato cha 6

toa cheti iwe cert. dipl. ama six sawa tu
 
Back
Top Bottom