SAKATA LA UCHINJAJI WA NYAMA; Wafanyabiashara wa nyama mjini Tunduma wahofia usalama

Status
Not open for further replies.
Na ukristo ni janga la KIMATAIFA....... maana mambo ya kulishana nyamafu ama vibudu mh... hilo halikubaliki. Ni andiko gani linamwamuru mkristo achinje? Bali tunaona katika biblia sheikh ndo anaruhusiwa kuchinja na si padri ama askofu kwa kuwa hawajatahiriwa. maana sharti kuu la kuchinja ni kuwa kabla hujachinja ni lazima usome dua la mungu mmoja (siyo watatu ama wanne walio katika nafsi moja) kisha uwe umetahiriwa ndo unaruhusiwa kuchinja. Ukichinja nje ya kanuni hiyo unakuwa unakula kibudu kitu ambacho ni najsi hivyo kanuni inakutaka uile wewe mwenyewe na si kulisha wengine. na unapokula kibudu unabaki kuwa najsi kwa muda wa siku arobaini. Mtu aliye najsi akisali sala zake zinakuwa batili mpaka hapo atakapokuwa tohara..... Unaona madhara ya kuchinja mtu asiye na mamlaka????

na je kitimoto mtachinja ili ugomvi uishe? tuchinjeni tu hata msipokula
 
Jambo muhimu ni kuweka taratibu nzuri zitakazowezesha jambo hk la kuchinja kuwa lenye ufanisi. Usiangalie kuchinja tu Bali angalia na mabucha ya kuuzia nyama hz. Je kuna matayarisho gani yamefanyika ktk Hz bucha kuonyesha kinagaubaga nyama ya hapa mnyama alichinjwa na Mwislam au mkristo. Kwa mtazamo wangu naamini mazingira ya kuchinja na kibiaahara yakiandaliwa hk jambo sio la kutugawa wala kunyoosheana vidole Watz. Mbona ktk supermarkets kunauzwa nyama ya nguruwe na ng'ombe lkn hakuna Mwislam anaelalamika? Hii ni kutokana na mazingira ya kibiashara yalivyowekwa ambapo kuna package na imeandikwa hii nyama fulani na hii fulani. Kwa suala hili naona ni vema tuumize bongo zetu kwa namna gani uchinjaji na uuzaji utafanyika bila kuingiliana kiimani. Hata huko nchi zilizoendelea utakuta lebel ya HALAL kuonyesha hy imeandaliwa ktk mazingira ya mtu wa dini yyt anaweza kula. Tuache kubishana mwishowe tutatengana kumbe kutokana na kutozishughulisha akili zetu ktk kutatua matatizo yetu wenyewe.

Umeandika vema.... Lakini mkuu unadhani ugomvu uliopo ni mkubwa kiasi unachokifikiria? Ni wivu tu kuona kwamba kuna dini moja inautaratibu mzuri wa maisha kulikoa nyingine ndo maana watu wanachukia. Tena wanachukia bila sababu maana dini hii ya uislamu imekopi na kupesti kutoka kwenye biblia ila kwa kuwa wenye biblia hawafuati biblia inavyosema (maana wanaona ni kazi kufuata na kuna watu wamechomeka maneno kwenye biblia kusimplify mambo) ndo maana wanaona hasira maana wanaona tumewaiga wakati wao ndo walistahili kuyafanya haya yanayofanywa na waislamu lakini wao hawayafuati maana wameshachakachua maandiko. Hapo ndo kuna tatizo maana waislamu wanafuata amri za biblia (kupitia qurani takatifu) kwa vitendo wakati wakristo wanafuata amri za binadamu ambazo hazimo kwenye biblia ndo maana dua za kuchinja wao wanaziita aya za shetani ili kujifariji kwamba waislamu wafanyacho ni kibaya..... Wanajifariji tu.
 
na je kitimoto mtachinja ili ugomvi uishe? tuchinjeni tu hata msipokula

Kumbe leo nashukuru umegundua sababu ya nguruwe kuwa haramu.... nashukuru umeanza kuelewa. Nguruwe ni haramu kwa maana mbili:
1. Hachinjwi bali hupigwa rungu ama kuchomwa mshale na kufa kibudu (ukila kibudu unakuwa umekula najsi)
2. Maandiko yamemtaja kuwa asiliwe na wala usishike mzoga wake ama damu yake (ni najsi).
Kwa hiyo wanaokula nguruwe wanapata dhambi mara mbili.....
 
Usikimbie hoja wewe.... tunazungumzia kuchinja maana chakula kinaliwa na kila kiumbe duniani, sasa hayo mambo uliyoyataja hapa hayana nafasi maana hakuna bucha ama machinjio ya hayo? Jadili hicho tu usipindishe mada-kuchinja.
t
Unaona jinsi hata wewe akili yako iko kwenye nyama tu.

Hukumbuki hata ulichokiandika kwe nye maneno yako?

Hupati connection ya kuchinja na utakatifu?

Huoni uhusiano wa tohara na usafi wa maisha?

Huwezi hata kulink swali lako la kujimiliksha uchinjaji na quotations ulizoweka?

Bado ni chakula kigumu kwako? Kama huwezi kunielewa kwamba bado niko kwenye mada yako, nadhani utafute mtu mwenye akili ya kuelewa akufafanulie.

Uwezo wa kukufaenya uelzwe huna. Umekuwa ukiona mtu anaambiwa arudi kwenye mada, basi ukakariri kila usipoelewa unaona kama mtu katoka kwenye mada kumbe ni kiwango chako ndio tatizo na wala siyo mada.
 
Usikimbie hoja wewe.... tunazungumzia kuchinja maana chakula kinaliwa na kila kiumbe duniani, sasa hayo mambo uliyoyataja hapa hayana nafasi maana hakuna bucha ama machinjio ya hayo? Jadili hicho tu usipindishe mada-kuchinja.
Lets be realistic. Hivi kabla ya kuja uislam wenu watu walikuwa hawachinji wanyama. So far ninavyojua mimi, uislamu ulitanguliwa na ukristo. Naweza kusema,civilzation ya wakristo, imetangulia ya waislamu. Muslimu wenye akili wanapaswa kujifunza kwa wakristo.
 
Hili sakata ni mtaji kwa makanisa ya kilokole na kwa hili wamefanikiwa kugawa watanzania kwa dini!!sijui watu waliooana kwa ndoa za kiserikali itakuaje.Maana mwingine anakula nyama ya mkristo mwenzake mwingine Halal Meat!
 
hakuna hiyo kitu! Kiti moto?... hebu mtu akataze kama hapatachimbika!
ujakatazwa kuchinja au kulanguruwe,suala ni kwamba wewe ukijinja muislam hali na unapojinja mweleze muislam kwamba nyama hii imechinjwa na mkristo na hata kama unauza bandika kibao kwamba nyama hii imechinjwa na mkristo lakini tatizo lenu wakristonyinyi mnataka mchinje alafu msitangaze kwamba nyama imejinjwa na mkristo hapo ndipo penye tatizo.
 
Hili swala limeanza kama mchezo vile, lakini kama busara haitatumika linaweza kutufikisha mahali pabaya sana. Nimefuatilia na kusikiliza cd ya yule Askofu wa Mwanza anayetuhumiwa kwa kuchochea ugomvi kati ya Wakristo na Waislam, kwa kweli kabisa katika cd hiyo sikuona uchochezi wowote labda kama kuna cd nyingine. Lakini kila niliye muuliza anasema ndiyo hiyo cd tu anayotuhumiwa nayo. Wakuu kwa kweli kama hiyo cd ndiyo inamfanya atuhumiwe basi mimi kwa maoni yangu nashawishika kufikiri kuwa yawezekana kuwa wanaomtuhumu wana jambo lingine nyuma yake na kwa kuhisi nadhani ni la KISIASA ZAIDI. Hebu sikiliza "Inuka, chinja ule" [video=youtube_share;5sM1OEY5SyM]http://youtu.be/5sM1OEY5SyM[/video]

Serikali (kwa mujibu wa CD ya ILUNGA) haina uwezo wa kumkamata kiongozi wa kiislamu. Ndiyo maana mpaka wamtafute mkristo ili wabalance mambo!!!.. Mfano mzuri kufungiwa kwa redio 2 moja ya kikristo na moja ya kiislamu!!.. Kila mwenye akili anajua REDIO IMANI ilikuwa ndiyo tatizo kubwa!!!.. Fuatilia hotuba ya JK ni kubalance balance tu!!!
 
Ww mbulula hapo walioleta fujo ni waisilamu wa hao mak*firi wenzako

Kafiri ni mpingaji!!!.. Uislamu umetokea miaka 600 baada ya ukristo!!!... Tukionesha misimamo kama yenu BAN zitapigwa kwa kwenda mbele!!!
 
ujakatazwa kuchinja au kulanguruwe,suala ni kwamba wewe ukijinja muislam hali na unapojinja mweleze muislam kwamba nyama hii imechinjwa na mkristo na hata kama unauza bandika kibao kwamba nyama hii imechinjwa na mkristo lakini tatizo lenu wakristonyinyi mnataka mchinje alafu msitangaze kwamba nyama imejinjwa na mkristo hapo ndipo penye tatizo.

Msimamo huu ungekuwa wenu woote usingeona vurugu kokote!!!.. Geita tulianzisha bucha yetu- ILIANDIKWA YESU NI JIBU na kuandikwa BUCHA YA WAKRISTO!!!
 
Kumbe leo nashukuru umegundua sababu ya nguruwe kuwa haramu.... nashukuru umeanza kuelewa. Nguruwe ni haramu kwa maana mbili:
1. Hachinjwi bali hupigwa rungu ama kuchomwa mshale na kufa kibudu (ukila kibudu unakuwa umekula najsi)
2. Maandiko yamemtaja kuwa asiliwe na wala usishike mzoga wake ama damu yake (ni najsi).
Kwa hiyo wanaokula nguruwe wanapata dhambi mara mbili.....

Mkiwa na njaa kalii mnamla!!!
 
Umeandika vema.... Lakini mkuu unadhani ugomvu uliopo ni mkubwa kiasi unachokifikiria? Ni wivu tu kuona kwamba kuna dini moja inautaratibu mzuri wa maisha kulikoa nyingine ndo maana watu wanachukia.

Tena wanachukia bila sababu maana dini hii ya uislamu imekopi na kupesti kutoka kwenye biblia ila kwa kuwa wenye biblia hawafuati biblia inavyosema (maana wanaona ni kazi kufuata na kuna watu wamechomeka maneno kwenye biblia kusimplify mambo) ndo maana wanaona hasira maana wanaona tumewaiga wakati wao ndo walistahili kuyafanya haya yanayofanywa na waislamu lakini wao hawayafuati maana wameshachakachua maandiko.
Hapo ndo kuna tatizo maana waislamu wanafuata amri za biblia (kupitia qurani takatifu) kwa vitendo wakati wakristo wanafuata amri za binadamu ambazo hazimo kwenye biblia ndo maana dua za kuchinja wao wanaziita aya za shetani ili kujifariji kwamba waislamu wafanyacho ni kibaya..... Wanajifariji tu.

NILIDHANI ILISHUSHWA NA MWENYEZI MUNGU KAMA ILIVYO!!!... Hivi JOTI HAJAIONA ... JOTIIIIIII KUTANA NA WAZEE WA KUKOPI NA KUPESTIII

HIVI RUSHDIE amekuwa msemaji wa wakristo?!!!!
 
Sio uislamu mkuu, ni uongozi tulionao.
Viongozi wakiwa siriaz waislamu mbona wananywea, tatizo waislamu walishajua kuwa serikali inawaogopa.

Sio kila mada lazima uchangie. Think critically on how to solve the problem na sio ubabe. Be wise

KHALFAN, Wala usigombane na MJUNI... Hayo maneno kayatoa kwenye CD ya ILUNGA anayowaagiza WAISLAMU waue WAKRISTO!!!

 
Sio uislamu mkuu, ni uongozi tulionao.
Viongozi wakiwa siriaz waislamu mbona wananywea, tatizo waislamu walishajua kuwa serikali inawaogopa.

Sio kila mada lazima uchangie. Think critically on how to solve the problem na sio ubabe. Be wise

Mfumo kristo hapa tz ni zaidi ya janga ndiyo uliotufikisha hapa tulipo. Sisi waislamu katu hatutawezi kula KIBUDU KILICHONYONGWA NA MGALATIA

MFUMO ISLAMU ULIOPO MADARAKANI UMESHINDWA KUWAKOMBOA?!!!... Ni rahisi saana kutamka maneno ya kibabe namna hii!!!..

LAKINI NIKUAMBIE KITU - KAULI ZENU HIZI NDIZO ZINACHOCHEA WAKRISTO KUKUBALI KUCHINJIWA!!!!..
. Hivi sasa wakristo ni wamoja kuliko awali!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom