Sakata la Simba, Yanga na TFF Rais Samia Aheshimiwe

Lili
Io nguvu ya umma sikuiona kwa mwendazake nilikua naogopa nini
Lilikuwa swala la mda tu watu wakichoka hawaogopi udictator Wala Nini. Watu wakichoka kukandamizwa wako tayari kujitoa hata mhanga na kuvaa mabomu Kama alshaabab na
 
Kila kitu mnataka kumpa lawama madam president,mbona mwendazake alikuwa anafanya uozo wa AJabu Sana na mkakaa kmiya,suala la TFF kuaihirisha mechi kiholela RAIS anahusika vip,mnakuwa kama siyo rizki banah
 
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
Neno zuri ni wako kama mabua (figure heads)
 
Kuna somo kubwa kwenye sakata la Simba na Yanga; mbali na maamuzi ya ovyo yaliyofanywa.

Watu wameshaanza kumkumbuka Magufuli, ukisikiliza kwa makini sio kwa sababu ya mechi tu, kuna mambo ya ovyo yameshaanza hilo tukio kama limepalilia tu hisia zao. Kipindi cha Magufuli watanzania wakawaida walishaanza kuzoea haki.

Ingelikuwa Magufuli ata kama yeye ndiye aliyetoa maagizo kwa malalamiko yale, jana angeshatoa tamko TFF warudishe viingilio vya watu au upatikane utaratibu mwingine wa mashabiki kupewa haki na sio raisi kwenda kujisafisha kwenye msiba sijui wa mtu gani as if nothing happened a day earlier.

Mama anahitaji kutambua watanzania wengi sio wapiga kura na wala wenye kujali sana mambo ya siasa labda pale maisha yao yanapoguswa ndio maana turnover kwenye kupiga kura huwa ni ndogo sana.

Hao watu Magufuli aliwazoesha haki na kuwarudishia heshima ndani ya nchi yao kama mtu mwingine yeyote.

Ushauri mama aachane na JK kama ana advisory role kubwa kwake zaidi kumtumia kuomba tips za hapa na pale kwa yale ambayo JK alikuwa anayeweza mainly diplomatic relations.

Atafute namna ya kuomba poo kwa Bashiru awe ata mshauri wake privately bila ya kumtangaza; vinginevyo mbele yake sio nzuri kwenye jicho la wananchi.

Upuuzi ambao Magufuli aliupunguza kwa asilimia kadhaa unaanza kurudi upya.
 
Kuna somo kubwa kwenye sakata la Simba na Yanga; mbali na maamuzi ya ovyo yaliyofanywa.

Watu wameshaanza kumkumbuka Magufuli, ukisikiliza kwa makini sio kwa sababu ya mechi tu, kuna mambo ya ovyo yameshaanza hilo tukio kama limepalilia tu hisia zao. Kipindi cha Magufuli watanzania wakawaida walishaanza kuzoea haki.

Ingelikuwa Magufuli ata kama yeye ndiye aliyetoa maagizo kwa malalamiko yale, jana angeshatoa tamko TFF warudishe viingilio vya watu au upatikane utaratibu mwingine wa mashabiki kupewa haki na sio raisi kwenda kujisafisha kwenye msiba sijui wa mtu gani as if nothing happened a day earlier.

Mama anahitaji kutambua watanzania wengi sio wapiga kura na wala wenye kujali sana mambo ya siasa labda pale maisha yao yanapoguswa ndio maana turnover kwenye kupiga kura huwa ni ndogo sana.

Hao watu Magufuli aliwazoesha haki na kuwarudishia heshima ndani ya nchi yao kama mtu mwingine yeyote.

Ushauri mama aachane na JK kama ana advisory role kwake zaidi ya kuomba tips za hapa kwenye ambayo JK alikuwa anayeweza mainly diplomacy.

Atafute namna ya kuomba poo kwa Bashiru awe ata mshauri wake privately bila ya kumtangaza; vinginevyo mbele yake sio nzuri kwenye jicho la wananchi.

Upuuzi ambao Magufuli aliupunguza kwa asilimia kadhaa unaanza kurudi upya.

Ujinga ufanywe na wengine lawama apewe rais!!. Yule ni rais wa nchi mwenye masuala mengi sana ya muhimu ya kuyatafutia suluhisho.

Yaani ujinga wa mpira wetu na wenyewe umhusishe rais mwenye kutakiwa kufikiria masuala ya industrial parks na uwekezaji wa sekta muhimu!!.

Hayati JPM ameshaondoka na yeye hakuwa malaika, alionea wengi tu kwa maamuzi yake ambayo mengine hayakuwa na chembechembe za ubinadamu.
 
Yaani unatutishia eti rais akiamua kuwa dikteta basi tutaumia? , Ajaribu kuwa dikteta aone kama atafika popote.

Tumepambana na Jiwe mpaka Stress zikauzidi moyo wake atakuwa Samia?

Wananchi tunataka kuheshimiwa, siyo kuswagwa kama ng'ombe
Wananch wapi hao? Hao wanaomsifia kila siku akipita mitaani? Ulikuwa huoni ziara zake? Rundo la watu mitaani? Waliokuwa wanamchukia ni nyie chadema, wapiga deal, vyeti feki, wauza unga kama wewe..
 
Ujinga ufanywe na wengine lawama apewe rais!!. Yule ni rais wa nchi mwenye masuala mengi sana ya muhimu ya kuyatafutia suluhisho.

Yaani ujinga wa mpira wetu na wenyewe umhusishe rais mwenye kutakiwa kufikiria masuala ya industrial parks na uwekezaji wa sekta muhimu!!.

Hayati JPM ameshaondoka na yeye hakuwa malaika, alionea wengi tu kwa maamuzi yake ambayo mengine hayakuwa na chembechembe za ubinadamu.
Mtamkumbuka tu, kwa huyu aliyepo hakuna namna.
 
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
Mkuu hii mijitu ishazoea kuendeshwa kwa mkono wa Chuma, madam president ilipofikia hawa ng'ombe inabidi awaendeshe kwa mkono wa Chuma Sasa, ile kuwapa uhuru wa kukosoa naona wanautumia vibaya hadi kufikia kumletea mama dhiaka
 
Ujinga ufanywe na wengine lawama apewe rais!!. Yule ni rais wa nchi mwenye masuala mengi sana ya muhimu ya kuyatafutia suluhisho.

Yaani ujinga wa mpira wetu na wenyewe umhusishe rais mwenye kutakiwa kufikiria masuala ya industrial parks na uwekezaji wa sekta muhimu!!.

Hayati JPM ameshaondoka na yeye hakuwa malaika, alionea wengi tu kwa maamuzi yake ambayo mengine hayakuwa na chembechembe za ubinadamu.
Bashungwa na Dr Abbas ni scapegoat kwenye ili wameshakaa hapo kwa muda kuelewa hafla za Ikulu hazina uhusiano wowote na mambo ya Fiesta, mpira na social events zingine za jamii.

Sakata la mpira ni amri kutoka juu inaweza isiwe raisi mwenyewe bali ushauri mmbaya wa wasaidizi wake, Bashungwa na TFF are still in touch with the real world and they know better than cancelling a highly anticipated match at the last minute.

Jumlisha na kwamba TFF inahusika na planning ya tukio zima kuandaa ulinzi, kutoa licence za TV kuonyesha, radio kutangaza na mambo mengine kibao ya mechi kubwa halafu wasogeze muda wa mechi mbele just like that it doesn’t add up; wakati wanaelewa media houses pia zimepokea hela za matangazo na wana schedule zao za vipindi vingine.

Yale ni maamuzi ya mtu ambae is out of touch na starehe za watu wakaiwaida, so chances are asilimia kubwa ni maamuzi ya kutoka juu na jana wamejaribu ku distract attention it didn’t work. Dalili za mwanzo katibu mkuu kiongozi ni bomu.
 
Bashungwa na Dr Abbas ni scapegoat kwenye ili wameshakaa hapo kwa muda kuelewa hafla za Ikulu hazina uhusiano wowote na mambo ya Fiesta, mpira na social events zingine za jamii.

Sakata la mpira ni amri kutoka juu inaweza isiwe raisi mwenyewe bali ushauri mmbaya wa wasaidizi wake, Bashungwa na TFF are still in touch with the real world and they know better than cancelling a highly anticipated match at the last minute.

Jumlisha na kwamba TFF inahusika na planning ya tukio zima kuandaa ulinzi, kutoa licence za TV kuonyesha, radio kutangaza na mambo mengine kibao ya mechi kubwa halafu wasogeze muda wa mechi mbele just like that it doesn’t add up.

Yale ni maamuzi ya mtu ambae is out of touch na starehe za watu wakaiwaida, so asilimia kubwa ni maamuzi ya kutoka juu na jana wamejaribu ku distract attention it didn’t work. Dalili za mwanzo katibu mkuu kiongozi ni bomu.
Kusogeza mechi kutoka saa kumi na moja mpaka saa moja usiku hakuna kosa lolote la jinai. Mechi ya Yanga vs Azam ilipangwa saa kumi na ikaanza saa mbili usiku. Yanga vs Biashara ilipangwa saa kumi ikachezwa saa moja usiku.

Yanga hawapo vizuri kwa sasa, kocha amewaambia viongozi ukweli kwamba kiwango cha timu hakipo tayari kuweza kuikabili Simba inayoongoza kundi ligi ya mabingwa wa afrika ikiwa na points 13.

Watu wa Yanga walio serikalini akiwemo Bashungwa wametengeneza zengwe ili mechi isogezwe mbele, kama sababu tu ili kuiepushia kipigo timu wanayoipenda.
 
Ndugu hizo media houses ni biashara zinategemea matangazo kulipa mishahara na bei ya matangazo inakuwa juu wale wanao onyesha Simba na Yanga.

Hapo uwanjani pia kuna watu wamelipia kuweka mabango, achilia mbali malalamiko ya mashabiki; to name a few of planning details.

Kuna too much business kwa TFF kusogeza ile mechi na hizo info Bashungwa atakuwa alipewa, yale ni maamuzi ya juu period. Na si ajabu sasa hivi TFF wamejikuta wana madeni luluki ya kulipa.

Hizo mechi zingine hazina income kubwa kwa TFF kama siku ya Simba na Yanga na wala hazina national interest vile, it was a bad decision simple.
 
Bashungwa, Kitila, Nchemba na Mambe wa uwekezaji ni wanayanga kindakindaki kama Spika alivyo mwanasimba.

Rais asishughulike na Mzee Mwinyi aende kushughulika na yanga!!. Tuachane na huu utamaduni wa kulalamika hovyo.
 
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
Kuna watu wanachuki tu na Mama hawa watu ingekuwa JPM usingesikia hata kumtaja. Kweli Mama angetaka hili kuna mtu wakulipinga? sio Yanga wala Simba kwa heshima tu na mamlaka ya Rais. Mama mstaarabu lakini sisi tumeshazoea kutukanwa hadharani na kupiga makofi kwa hili JPM alikuwa anatujuwa sisi bila fimbo hatuwendi.
 
Kusogeza mechi kutoka saa kumi na moja mpaka saa moja usiku hakuna kosa lolote la jinai. Mechi ya Yanga vs Azam ilipangwa saa kumi na ikaanza saa mbili usiku. Yanga vs Biashara ilipangwa saa kumi ikachezwa saa moja usiku.

Yanga hawapo vizuri kwa sasa, kocha amewaambia viongozi ukweli kwamba kiwango cha timu hakipo tayari kuweza kuikabili Simba inayoongoza kundi ligi ya mabingwa wa afrika ikiwa na points 13.

Watu wa Yanga walio serikalini akiwemo Bashungwa wametengeneza zengwe ili mechi isogezwe mbele, kama sababu tu ili kuiepushia kipigo timu wanayoipenda.
Tumia akili yako vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom