Sakata la Simba, Yanga na TFF Rais Samia Aheshimiwe

Katika hili nimejikuta nammiss Jiwe aisee. Hata kama angekua kaagiza yeye lkn katika mazngira haya ilikua ni lazima tumsikie GERSON MSIGWA
 
sidhani kama wasukuma wote walimpenda magufuli au wazanzibar wote watampenda samia ni haki kwako kuwachukia wasukuma ila si kweli kila mtu mtandaoni anayeandika kinyume nasamia ni msukuma na hakuna aliye mkamilifu zaidi ya mungu
Linawahusu hao wachache wanaoweweseka na Magufuli, nawakumbusha tu kuwa hawezi kuzinduka. Wajipange upya
 
Kwani toka aingie madarakani kafanya kipi cha maana? Wezi na vibaka wanarudi kwa kasi,umeme unakatika ovyoovyo yupo kimya, Simba na Yanga mechi imeahirishwa kizembe we unataka tumsifie kwa lipi? Alituaminisha yeye ni Rais na anaweza kuongoza kipi kinashinda?,Sisi tunataka vitendo sio maneno.
Una akili ndogo kuliko hata ya sisimizi. Kwa hiyo Rais SSH ndiyo fundi umeme wa TANESCO? Na yeye ndiye unataka afukuze vibaka na kuchezesha mechi ya Simba na Yanga?

Yaani ukisikia kuwa Watanzania wengi ni wapumbavu, nyie akina Abby Newton ndiyo mnaongeza namba
 
Asante Ngungenge, Wasukuma hao kila wakati wanaangalia nini hakiendi sawa then wanamhusisha Rais SSH.

Kwa taarifa yenu Rais fani yake ni Public Administration aliyoisomea IDM Mzumbe kwenye Stashahada ya Juu, kamwe hawezi kufanya micro management ya kiwango hicho.

Kama mnatarajia atakuja kukosea kama Mwendazake kwenye Uongozi wa watu, Utawala bora na Utwala wa Sheria, mtasubiri sana.
Pumbavu. Wasukuma wanainguaje katika hili we mbwa ?
 
Kama hajaagiza yeye basi Waziri husika ndio anapaswa kufukuzwa sasa kukaa kimya kunaleta tafsiri gan kama sio yeye kaagiza..msimtete leo Bi mkubwa kademka basi
Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami, Simba na Yanga ni takataka rais hapaswi kujitetea ati mechi imevunjika
 
Kwanza, kisheria kuna doctrine ya Vicarious liability as long mtu wa chini yako kafanya makosa na wewe uliye ngazi ya juu unapaswa kuwajibika...

Huwa iko hivi
Qui facts per allium facit perse:“he who does something through another is deemed to do it himself”.

Wizara ipo chini ya Rais agizo la wizara ni agizo la Rais full stop
Kwa hiyo Amir jeshi mkuu awajibike kwa match ya simba na yanga ?!
 
Mzenji mwenzake anazindua kitabu, akaona TV zote zinaenda kuonyesha mpira, akatoa maagizo mpira usubiri kwanza.
Mwendazake tutamkumbuka sana. Enzi zile Tigo fiesta linazuiwa na akina makonda, alitoa maagizo kuwa anataka asubuhi wakati anaenda kanisan anataka apishane na watu wanatoka Tigo fiesta, yaan fiesta likeshe.

Tutamkumbuka sana. Mungu amrehem uko aliko.
Nawakati anafanya mkutano Arusha, siku ambapo Simba ilikua inacheza ...mbonaa mechi iliahiririshwa kupisha kampen ambazo hazina maana yeyote kwenye Mpira.

Kama alishindwa mtumbua Bashite, wala hakuwa na maana.
 
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
Huu ni upuuzi,post kama muwe mnapost huko facebook.
Una uhakika gani kama Mama Samia kaagiza mchezo usogezwe mbele,TFF ni independent institution haitakiwi kuingiliwa kuendesha mambo yake,halfu dhifa gani ya kitaifa ifanye mchezo ubadilishe masaa,Mpira wa miguu unatengemana na siasa.
Wapi mama Samia kaagiza ,kama wizara iliagiza TFF ,TFF ilitakiwa iambie mapema Simba na Yanga,nini maana ya kuwa na securty officer kwenye taasisi.
Halafu kama ni serikali imeagiza TFF ili iwe nini ?.
 
Wewe una uhakika gani kuwa Rais Samia kaagiza hilo litokee mana zipo sababu kuwa waganga timu fulani wamewashauri wateja wao mechi mpelekee mbele ili teku yao ishinde
Yani na wewe unaamini upuuzi huu ndio umeifanya wizara kuimuru TFF isogeze mbele mechi? Wewe unaona ni busara 80% ya watz wakiangalia mechi ya mpira wa miguu wakati Rais wa nchi, na viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa kwenye tukio la KiRais linalorushwa live? Walichoonyesha viongozi wa Yanga ni dharau kubwa kwa mamlaka za nchi
 
Kwani rais hapinduliwi? Unaongea kana kwamba rais ni mungu. Wananchi wakiamua ni ama rais akiuzulu au apinduliww. Usicheze na nguvu ya Uma rais so chochote nguvu ya imma ikiamua. Sema umeathiriwa na jpm!
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
?
 
Huu ni upuuzi,post kama muwe mnapost huko facebook.
Una uhakika gani kama Mama Samia kaagiza mchezo usogezwe mbele,TFF ni independent institution haitakiwi kuingiliwa kuendesha mambo yake,halfu dhifa gani ya kitaifa ifanye mchezo ubadilishe masaa,Mpira wa miguu unatengemana na siasa.
Wapi mama Samia kaagiza ,kama wizara iliagiza TFF ,TFF ilitakiwa iambie mapema Simba na Yanga,nini maana ya kuwa na securty officer kwenye taasisi.
Halafu kama ni serikali imeagiza TFF ili iwe nini ?.
Haujasoma vizuri
 
Kwani rais hapinduliwi? Unaongea kana kwamba rais ni mungu. Wananchi wakiamua ni ama rais akiuzulu au apinduliww. Usicheze na nguvu ya Uma rais so chochote nguvu ya imma ikiamua. Sema umeathiriwa na jpm!

?
Io nguvu ya umma sikuiona kwa mwendazake nilikua naogopa nini
 
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
Nashangaa mpaka sasa TFF na Waziri wa Michezo bado wapo ofisini. Kanuni za Mpira wa Miguu Duniani zipo wazi kwamba ni marufuku serikali kuingilia mambo ya michezo. Sasa TFF inaposema imeamua kufanya ilichofanya kwa maagizo au maelekezo ya Serikali kupitia Wizara ya Habari na Michezo maana yake inatuambia Serikali inaingilia mambo ya michezo kinyume na kanuni za FIFA?
 
Kama Mwendazake kabebeshwa peke yake lawama zote na ufisadi wote wa serikali ya awamu ya 5 bila kuchambua lipi anahusika na lipi hakuhusika sasa iweje tena huyu Mama ndio iwe tofauti?
Hii comments imemaliza kila kitu,wazee wa kusifu na mapambio wamejitoa akili Kwa hili
 
Pumbavu. Wasukuma wanainguaje katika hili we mbwa ?
Wasukuma si ndiyo wale hakuwabomolea barabara kama wale wa Kimara, Wasukuma ndiyo wale kawajengea International airport Chato, Wasukuma ndiyo wale kawajengea Hospitali ya Rufaa, Wasukuma ndiyo wale kawapa vyeo vya Uwaziri na Ukatibu Mkuu, ukuu wa mikoa

Hao ndiyo wanakesha kusema Mwendazake ameacha legacy na bila yeye nchi haiwezi kupiga hatua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom